PESA BWANA
WEWE
ACHA TU
Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa MCHUNGAJI atakayemuombea mbwa wangu! MCHUNGAJI akajibu, aah! Mbona hukusema mapema kuwa mbwa wako ni mkristo ? Haya mlete nimuombee,? chezea pesa weee!
Joke nzuri sana ila imeharibiwa na hayo maneno matatu ya mwisho. Kwangu yananiharibia ladha(uzuri)wa joke!PESA BWANA
WEWE
ACHA TU
Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa MCHUNGAJI atakayemuombea mbwa wangu! MCHUNGAJI akajibu, aah! Mbona hukusema mapema kuwa mbwa wako ni mkristo ? Haya mlete nimuombee,? chezea pesa weee!
PESA BWANA
WEWE
ACHA TU
Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa MCHUNGAJI atakayemuombea mbwa wangu! MCHUNGAJI akajibu, aah! Mbona hukusema mapema kuwa mbwa wako ni mkristo ? Haya mlete nimuombee,? chezea pesa weee!
Hayaa polee pesa tamuuu lakinii
Ipi tamu zaidi kati ya Pesa na Dudu?