Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Hilo Ndo tatizo kubwa sana kwa sisi watanzania, Ila mimi sitaki kuamini kwamba ulikopa Benk make benki ni lazima uwe na Mpango Kazi au Bsiness planing na some time uwe na Biashara kabisa na uwe na kila kitu kinacho takiwa kwa ajili ya Biashara.
Na kama kweli umekopa bila kujua utafanya nini basi inakula kwako mkuu, kwa sababu kabla hujakopa ni lazima ujirizishe kwamba Project unayo enda kuifanya inalipa, na kumbuka biashara si lele mama kuna kuyumba hata ndani ya miaka 3,
So mkuu unahitaji ushauri wa hali ya juu kwa huo mtaji wako
Mkuu Moony, mimi nipo kwenye NGO na inashughulika na masuala ya vijana, Naomba uniunganishe na hao watu wa NGO wanaoshughulika na kilimo. Tunadhani kilimo kinaweza saidia vijana kwenye ajira. Tupo Dar
Moony aliyepo Songea ni mtoa hoja mwenye milion 80. Mimi ni mwanaJF mwingine mwenye interest na kilimo. Sorry for confusion. Regards, MpitagwaMara Songea, mara Dar sasa nishike lipi? Anyway nenda wizara ya kilimo kitengo cha tafiti watakupa msaada
Moony aliyepo Songea ni mtoa hoja mwenye milion 80. Mimi ni mwanaJF mwingine mwenye interest na kilimo. Sorry for confusion. Regards, Mpitagwa
utakapo kuja dsm nitafute tuongee mbili, tatu ninazo fuatilia. Ila usije na hela kwa kuwa ni kwa sababu ya maongezi. Unaweza kupata maarifa. nitaku pm namba yangu
unaogopa hela! Ungemwambia aje nazo tu
Nina tsh 80m, niko Songea. Nianzishe mradi(miradi) gani ili niuage umasikini? Nisameheni kwa kukopa kabla ya kuwa na wazo kwanza. Ninatakiwa niwe nimezirudisha benki baada ya miaka 15 kuanzia sasa na 21%. wazo, tafadhali.
Ile 60 inayobaki nunua fuso tandem, kachukua class c beba mizigo dar songea pole pole. (ila endesha mwenyewe) kama bado uko hai after 15 years nafkiri you might even be able to pay for a ticket to heaven!
Kwa kuendesha lorry? Na wale ''kwa sambi sako''!