pesa ni kitu kizuri.........

Hotel De Mag.
Kuna Mtasha kaomba kampani yangu.

wewe shem. Ujue mie nakuhurumia sana, kama umenza kuwa karibu na watasha !! Nahisi umaarufu unakunyemelea maana hazito pita wiki kabla hatujaona movie yako kule youtube watasha .
 
We Madame B wewe,subiri siku ukiingia anga zangu......utasema 'eh miaka yote nilikuwa wapi'?

Kale kamchezo kenu wahaya ka kuchezea "K" kama unachezea konokono?, sijui kama atakaweza.katelelo
 
Last edited by a moderator:
Warimwengu........ walisema naleo........ nimeyaona........ nilikuwanaitwa.........

ulikuwa unaitwa tupa tupa eee? Wewe subiri mwisho wa mwezi uone watu wanavyoweka heshima bar
 
Pesa ni kila kitu asikuambie mtu, hasa mwanaume ukiwa nazo kila mzazi mwenye binti atataka umuoe kwa kigezo cha heshima utasikia ooh! Yule kijana anaheshima!
 
Pesa ni kila kitu asikuambie mtu, hasa mwanaume ukiwa nazo kila mzazi mwenye binti atataka umuoe kwa kigezo cha heshima utasikia ooh! Yule kijana anaheshima!

teh teh.. Then waweza pewa shkamoo na baba mkwe kwa unyenyekevu.. LOL.
 
Koma ukomae wanawake umeona ndo tuna usongo wa pesa sana . na kwanini haulali mkeo yuko kwenye anga za juu nini.
kichanga kimelia sana usiku hatujalala.
Yaani mara hii Mamndenyi umesahau ulivyokuwa unaniomba hela?
 
Last edited by a moderator:
Pesa ni kila kitu asikuambie mtu, hasa mwanaume ukiwa nazo kila mzazi mwenye binti atataka umuoe kwa kigezo cha heshima utasikia ooh! Yule kijana anaheshima!
Kopi aione Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
Hahaha.. Bishangaaaaa naona unakumbukia enzi hizo kabla hujafilisika.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha.. Bishangaaaaa naona unakumbukia enzi hizo kabla hujafilisika.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…