pesa na imani zake

pesa na imani zake

pesajr

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
6
Reaction score
0
kama ukiwashwa mkono ujue pesa inakalibia kuja, bac ----- ungekuwa dili:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Ukiwasha mkono wa kulia utapokea hela. Ukiwasha mkono wa kushoto utatoa hela. Sio siri nyi loi kapisaa!!
 
Yah ni kweli mi na imani hiyo pia na inakuwaga kwelii

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ukiwashwa kichwani ujue mwenye salon anataka pesa kwa hiyo kanyoe au kasuke.
 
Back
Top Bottom