Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Hivi wewe huwa unafanya kazi saa ngapi?Zingatia kazi ndiyo msingi wa maisha ungekuwa mfanyakazi wangu lazima ninge ku suck.
Mentor hakuna kitu kitamu unakutana ma mgegedaji mtalaam, kila kona anayogusa wewe upo, hela kila mtu anaweza kuzitafuta. Kitu muhimu kwenye maisha ya ndoa ni TENDO LA NDOA, sasa wewe unapoangalia pesa halafu tendo unaenda kugawa nje maana yake nini?
AKili mukichwa!
tell that to: Evelyn Salt
akuuu ntakula shughuli, money first!!!!!!
Mtaka cha uvunguni shurti ainame hapo dada anataka hela na babu anataka lake hapo chacha. sasa sijui pia kutakua na kiss au maliza haraka nimechoka lol. Chezea pesa wewe
Kwa nini mkuu?Hivi wewe huwa unafanya kazi saa ngapi?Zingatia kazi ndiyo msingi wa maisha ungekuwa mfanyakazi wangu lazima ninge ku suck.
Mhhhhhhh hivi haya unayoyaongea ni kweli au ndiyo yale yale fata maneno matendo yangu niachie mwenyewe.Mentor hakuna kitu kitamu unakutana ma mgegedaji mtalaam, kila kona anayogusa wewe upo, hela kila mtu anaweza kuzitafuta. Kitu muhimu kwenye maisha ya ndoa ni TENDO LA NDOA, sasa wewe unapoangalia pesa halafu tendo unaenda kugawa nje maana yake nini?
AKili mukichwa!
siku hizi pesa ndo kila kitu
but I cant imagine my self kissing this babu
sijui nanilino yake mle ndani iko ktk hali gani
yataka moyo....,
Wacha longolongo wewe! Mwanaume kitu kingine hakiwezi kufananishwa na kitu chochote .... ona hii .... ".... na tumuumbe mtu kwa mfano wetu ... akamuumba Adamu" Mwanaumbe ni mfano wa Muumba
Halafu siku hizi vijana wanavyopenda wazee, we acha tu.
Sijui ni kwaajili wazee kama hao wanapigaga goli moja halafu chali?
Huyu ni mzazi anamsihi mwanawe arudi nyumbani na aachanae na ukahaba
Mhhhhhhh hivi haya unayoyaonge ni kweli au ndiyo yale yale fata maneno matendo yangu niachie mwenyewe.
Mikato ya wale kimboka au shekilango road kabisa.Kwanza dem lenyewe baya! Ni alali likaliwe na wazee design hiyo.