Pesa katika mapenzi (PICHA)

duuh! unawaza mbali!Jamani! msiwe na mawazo mabaya. Je kama huyo ni babu yake anamuomba hela? .
 
una bahati mzabzab ameamua kuoa siku hizi!!

Wanaume siku hizi majanga tu, unaona mtu ana msuli unafikiri labda leo nitatafunwa mpaka niondoke kwa kutambaa ukifika kule ka moja tena kwa kutafuta!!. Mwangalie huyo mzee kwanza alivyostrong. Siku hizi hatuangalii hela tunaangalia shughuli kama inaenda!!!
 
Hahaha jf kubwa la maadui

Hii picha umemwomba mwenyewe ? Au umempanch. Unfair kwenye jukwaa hili. This is a respectable man and his wife no matter age difference. We know why
 
Hakuna cha pesa wala nini, huyo mzee anajituma sana kwenye ile kazi. Vijana wa siku hizi useless kabisa! lol

ninachoamini ni kuwa mabinti wengi(siyo wote) hawezi kukubali kirahisi kwa ajili ya love kuliko mikwanja! dunia iko hivyo!
 

tell that to: Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
siku hizi pesa ndo kila kitu
but I cant imagine my self kissing this babu
sijui nanilino yake mle ndani iko ktk hali gani

yataka moyo....,

Hivi wewe huwa unafanya kazi saa ngapi?Zingatia kazi ndiyo msingi wa maisha ungekuwa mfanyakazi wangu lazima ninge ku suck.
 
A photo can say a thousands words

mimi sijaona pesa imeingia wapi hapa
huyu binti anaweza kuwa mjomba wake
au jirani yake
au hata gardener wao

sioni ishu ya pesa imekujaje hapa
The Boss nimependa hii.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…