True say manConfidence ya kuwa na pesa ndio really confidence zingine ni pretending tu. Money is universal language popote pale unaeleweka.
True say manConfidence ya kuwa na pesa ndio really confidence zingine ni pretending tu. Money is universal language popote pale unaeleweka.
Tumelazimishwa kufika huku haikuwa choice yetu system imeamua.Hivi kweli tumefikia huku?
Humanity first before anything
Sure kabisa..Kuna mtu mmoja alishawahi kuimba " Ama kweli, Maradhi yote ugua, lakini kuchacha usiombee"
Ata cancer?Sure kabisa..