Pesa inaongeza confidence. Vijana tutafute pesa ule unyonge unaotokana na kukosa pesa haufai kabisa

Nadhani ile confidence ya ndani, ile isiyotegemea kitu ndo inayofaa. Maana pesa ngumu kutosheka nazo, hivyo utajiona Fala pia utakapokutana na wenye zaidi ya wewe na kujiona huna thamani pale unapopata changamoto ya pesa. Na kuwa mlimbukeni unapozipata.

Tutafute pesa lakini tusizipe thamani kivile kiasi cha kujiona si chochote katika hali ya msoto.
 
Niliwahi kusoma mahali flani jamaa kaandika, "TAFUTA PESA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WAKUTEMBELEE, VINGINEVYO UTATEMBELEWA SIKU YA MAZISHI YAKO"

Basi sawa, kuna wakati huna pesa na confidence inapotea japo unajipa moyo tu!.
 
Nadhani ile confidence ya ndani,ile isiyotegemea kitu ndo inayofaa.Maana pesa ngumu kutosheka nazo,hivyo utajiona Fala pia utakapokutana na wenye zaidi ya wewe na kujiona huna thamani pale unapopata changamoto ya pesa.Na kuwa mlimbukeni unapozipata...

Tutafute pesa,lakini tusizipe thamani kivile kiasi cha kujiona si chochote katika hali ya msoto.
Confidence ya ndani ikikutana na confidence ya pesa inapoteza confidence. Kwa ulimwengu wa Sasa thamani ya pesa inaplay part kubwa kwenye maisha yetu watu wapo tayari kurisk uhai wao Kwa sababu ya money
 
Niliwahi kusoma mahali flani jamaa kaandika, "TAFUTA PESA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WAKUTEMBELEE, VINGINEVYO UTATEMBELEWA SIKU YA MAZISHI YAKO"

Basi sawa, kuna wakati huna pesa na confidence inapotea japo unajipa moyo tu!.
Pesa itabaki kuwa pesa.
 
Back
Top Bottom