Pesa inaongeza confidence. Vijana tutafute pesa ule unyonge unaotokana na kukosa pesa haufai kabisa

Naunga mkono hoja.
Waislamu wanasema tafuta ilimu hata mpaka Uchina.
Vivyo hivyo nasema tafuta pesa kwa njia yoyote isipokuwa kwa kuua
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom