pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,087
...Mkuu Pumzi, ni kama umechanganya Madesa.Wanazengo pesa imeyeyuka? Najiuliza funga hii mbona imekua ya kimya sana zile shamra shamra za wasanii, na makampuni mbalimbali nchini za kufuturisha na kutoa vyakula sehemu mbali mbali, za vituo vya yatima na wagonjwa na wasiojiweza mbona mfungo huu wa kwaresma umekua kimya sana wako wapi mabigwa wa kufuturisha hakika mifuko imechanika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanazengo pesa imeyeyuka? Najiuliza funga hii mbona imekua ya kimya sana zile shamra shamra za wasanii, na makampuni mbalimbali nchini za kufuturisha na kutoa vyakula sehemu mbali mbali, za vituo vya yatima na wagonjwa na wasiojiweza mbona mfungo huu wa kwaresma umekua kimya sana wako wapi mabigwa wa kufuturisha hakika mifuko imechanika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu lakini najiuliza hata kama ni maombolezo lakini si ni mwezi wa kufanya matendo ya huruma na kutubia makosa nilitegemea kuona shamra hizi kwenye vyombo vya habari lakini hali imekua siyo kabisa ni hivi juzi tu nikiwa kijiwe na washkaji ndio nimejua kuna mfungo nikastaajabu mbona hauna shamrashamra hata sokoni kupo kupo tu....Mkuu Pumzi, ni kama umechanganya Madesa.
Kwa kawaida hii Kwaresima inapitaga kimya kimya maana ni kama vile upande huu upo kwenye Maombolezo.
Hizo shughuli zote ulizotaja hapo zinafanyika zaidi kwenye Mwezi ulee wa Upande Mwingine...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini kwenye mfjngo huu uliona shmra shamra na huko sokoni uliexpect nini,watu wanunue viazi au,Ni kweli mkuu lakini najiuliza hata kama ni maombolezo lakini si ni mwezi wa kufanya matendo ya huruma na kutubia makosa nilitegemea kuona shamra hizi kwenye vyombo vya habari lakini hali imekua siyo kabisa ni hivi juzi tu nikiwa kijiwe na washkaji ndio nimejua kuna mfungo nikastaajabu mbona hauna shamrashamra hata sokoni kupo kupo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Komando Kinje mzee wa chompwicho upo? ππππSisi hatunaga hizo mbwembwe na ndio maana kipindi cha mfungo wa kwaresima huwezi kukuta watu wamefunga mabaa au mahotel, utaipimaje imani yako kama unawakataza wengine wasio wa imani yako kuendelea na maisha yao ya kawaida........ukifika mfungo wa upande wa pili hapo ndipo unakutana na zile simulizi za wamiliki wa baa na wauza kitimoto wanalalamika kwamba biashara imekuwa mbaya.........hilo ni jambo la kujiuliza sana, tumeambiwa hivi:- mfungapo msiwe kama wale wanafiki wanaojiumbua sura zao na kujipausha midomo.......naomba niishie hapo
komando kinjekitile ngwale
Nipo mzeeKomando Kinje mzee wa chompwicho upo?
Nielimishe basi mkuu kuuliza si ujinga asanteAliyekuambia kwaresma ni mfungo wa shamrashamra na mbwembwe ni nani????
Taratibu nimeuliza sivema kunijibu kwa jeuri unaweza kunielekeza tu kwa elimu uliyo nao, shukrani.Lini kwenye mfjngo huu uliona shmra shamra na huko sokoni uliexpect nini,watu wanunue viazi au,
Umemix ma file
Sent using Brain
Mungu atakapo nibariki nitakwenda kutoa chochote kitu kwa sababu mfungo haujaisha najaribu kupata elimu mbalimbali unaweza kufunguka kidogo?Kwa nini usianze wewe kufuturisha?