Pesa imeanza kuonekana ipo nyingi sana mtaani, mama ana kismati sana

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Pesa imeanza kuonekana mapema Sana, kila nachofanya pesa inaingia tu. Jana Kuna biashara ya kawaida tu nimefannya nikalamba mil 12 ya fasta.

Kama wewe ni mvivu huu uzi usiusome maana unaweza pata degedege. Kikubwa tuache kulalamika na tuchape kazi, ukifanya kazi pesa utaiona.

Pesa mtaani Sasa hivi ni nyingi sana, hivyo inahitaji ubunifu kidogo tu kuweza kuipata. Kwa sisi ambao ni magwiji Sasa hivi tunasema mambo mswano.

Mama hongera Sana, maisha yamekuwa mepesi Sana.
 
Pesa imeanza kuonekana mapema Sana, kila nachofanya pesa inaingia tu.
Jana Kuna biashara ya kawaida tu nimefannya nikalamba mil 12 ya fasta.
Kama wewe ni mvivu huu uzi usiusome maana unaweza pata degedege.
Kikubwa tuache kulalamika na tuchape kazi, ukifanya kazi pesa utaiona.

Nakukubaliana nawewe, kuna bishara yangu sasa hivi inaanza kuleta matumaini ya kunirudisha kwenye line. Mauzo yalikuwa yameshuka sana siku za nyuma hadi nikikuwa nawaza kuifunga ila muda huu naona kabisa tukiendelea hivi hivi nitaweza kuiendesha vizuri biashara yangu. Mungu akubariki sana Mh. Rais
 
Hahaaa unatafuta madem
 
Kuna watu wakiona hivi wanajawa na wivu. Wao wapo mitandaoni 24/7 kazi kulalamika serikali tu alafu wanataka pesa ije kimiujiza.
Piga kazi kamanda, pesa ipo
 
Back
Top Bottom