PESA au MAPENZI ?

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Kipi kizito ? Pesa au Mapenzi ?
 

Attachments

  • PESA.jpg
    PESA.jpg
    7.5 KB · Views: 254
money creates hapines for sure
but for love to create hapines,it depends if other things are kept constant
 
njiwa hana pesa, lakini wanapendana na kutembea pamoja kila siku....kuna upendo unaozidi ule wa njiwa?....hapo ndo tuamini kuwa pesa si kigezo cha upendo, kama kigezo itakuwa ni pesa basi hilo ni penzi la kuchunana...omba Mungu mwanamke asiwe yule wa bomangómbe kule kwa wapalestina.
 
Wote wanaohusisha mapenzi na pesa hawajui utamu wa mapenzi. Vivyo hivyo hawajui uchungu wa/maumivu ya penzi pale mambo yanapokwenda ndivyo sivyo.
 
Haya pendaneni na mtakula mapenzi...all the best. Mi napenda pesa...mapenzi badae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom