Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 385
Usishauriwe HP mkuu....kwema mkuu...? pc gani unapendekeza kucheza izo game kwa bajeti ya 800,000?
ahsante kwa tahadhari mkuuUsishauriwe HP mkuu....
Najutaa nilikuwa na dell core i5 nvidia geforce 520 kama ivo... Ilikuwa bomba sana kuliko hili li HP pumbaaav
Hapana aisee hio PC yako ni kali sana, hujaifanyia tu configuration anza na hizo drivers kwanza, ikikubali hutatamani pc nyengine kwa muda mrefu tu.Usishauriwe HP mkuu....
Najutaa nilikuwa na dell core i5 nvidia geforce 520 kama ivo... Ilikuwa bomba sana kuliko hili li HP pumbaaav
Kama unaenda brand new hapo unapata tu i3, utacheza hizo games ila kwa quality ndogo. Angalia i3 za kisasa kama 7100u ama 8130u au ukikosa kabisa 6100u sio mbaya sana.kwema mkuu...? pc gani unapendekeza kucheza izo game kwa bajeti ya 800,000?
mbn mkuu hizi patch nikijaribu kudownload link zinagoma zinanipeleka sijui wapi,waweza nisaidia link na namna ya ku install maana nime install patch moja tu ile ya kubadili majina ya timu kwenda majina halisiUpdate unadownload kusha unainistall moja kwa moja kwenye installation foder ya game lako.
Kuhusu vram ni hardware inayohusika na maswala ya ku process video na graphic kwenye pc
hakuna namna ya kunipa patch io kwa ambao hatupo dar kwa sasayani simple sana ni stape mbili tu. kama uko dar njoo nikupe patch
Nakupaje mkuu.hakuna namna ya kunipa patch io kwa ambao hatupo dar kwa sasa
Nakupaje mkuu.
Download tu mkuu.
Mkuu una pes 19?Nakupaje mkuu.
Download tu mkuu.
Sina coz lipo lakini crack bado haijatokaMkuu una pes 19?
vip mkuu una pes 2018Nakupaje mkuu.
Download tu mkuu.
Nina 17 tuvip mkuu una pes 2018
maelezo yote na video ipo hapo juu. mpaka viwanja na timu zitaongezekaNaombeni namna ya ku import jezi wakuu nacheza pes16 na 17
Ok asante nimeona ngoja nijaribumaelezo yote na video ipo hapo juu. mpaka viwanja na timu zitaongezeka
Pc inayorun Fifa 15 kawaida inarun pia Fifa mpya. Unapunguza tu graphics. Ila wachezaji wanaweza tokea bila sura wakati wa highlightsFifa latest haya yanataka pc yenye nguvu kidogo nimeamua nirudi fifa 15 tu
oyooooHatimaye baada ya miezi mitatu hivi CPY wameweza ku crack pes 19
Pro Evolution Soccer 2019 Free Download