PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Hapana na install nafanya mpango wa new patch mkuu
poa patch nayo jipange gb4+. Kwa sasa version zishafika 4.

Bila kusahau option file.

Ukitaka kufaidi vizuri download na Multi-switcher. Mb 300+

Hii ni scoreboard na logo za ligi mbali mbali kuanzia bundasliga, serie A. Laliga. French league 1 na liga nos. Eredivise. Na EPL.

Hii inaswitch automatic kutokana na ulivochagua timu. Yani mfano ukichagua kucheza timu zote kutoka EPl. Basi logo na scoreboard itatumika ya EPL.

Halafu hii ni simple kuinistall .ukisha download na kuextract unamove to file kulipeleka kwenye pes 2017 main folder kisha unarun game kwa kutumia multi-switcher shortcut.

Viwanja pia download ili vifike walau 42. Ila hivi utavikuta ndani ya patch.

Kumbuka pia kudownload Dpfilelist generator v 1.6 by baris.
 
Daah PES sijawahi test ladha yake, kwakweli niko addicted sana na FIFA. Mkuu ebu niambie kuna nini cha kunitoa huku nilipo nihamie huko.?
Kwasasa niko nadownload FIFA 18 sikuwa nimepata wasaha wakulicheza sababu ya mihangaiko iliniweka busy kidogo
fifa.PNG
 
View attachment 858888
uzuri wa pes ni graphic ni nzuri mno na likihitaji spacification ndogo kwa sie wenye pc za wasiwasi tofauti na fifa. Pia kuwepo kwa uefa.

Lakini now days pia pes kuanzia pes2018. Inaitaji viwango vikubwa.

Ndio mana game lao zuri la mwisho ambalo ni jepesi ni pes 2017. Wewe fikiria tu likiwa reparked lina around gb 4 tu. Na graphic ni kali tu.
 
Wakuu naombeni msaada wa namna ya kuondoa coach mode kwenye PES 2018 ili niweze kucontrol wachezaji mimi mwenyewe. maana kila nikitaka kucheza master league au uefa inaniletea option ya ku play in coach mode au kwenda kwenye next match.
 
mkuu kuna option mbili coach mode or next match. chagua next match tu. utaingia kwenye line up setting then utaendelea na mengineyo
 
Wajuzi naomba kuuliza kama ntaweza kucheza fifa 17 kwny pc yenye ram 4gb,core i5 na hdd 400gb
 
Daah PES sijawahi test ladha yake, kwakweli niko addicted sana na FIFA. Mkuu ebu niambie kuna nini cha kunitoa huku nilipo nihamie huko.?
Kwasasa niko nadownload FIFA 18 sikuwa nimepata wasaha wakulicheza sababu ya mihangaiko iliniweka busy kidogo
View attachment 858888
Samahani Mkuu, unatumia internet ya mtandao upi?
 
uzuri wa pes ni graphic ni nzuri mno na likihitaji spacification ndogo kwa sie wenye pc za wasiwasi tofauti na fifa. Pia kuwepo kwa uefa.

Lakini now days pia pes kuanzia pes2018. Inaitaji viwango vikubwa.

Ndio mana game lao zuri la mwisho ambalo ni jepesi ni pes 2017. Wewe fikiria tu likiwa reparked lina around gb 4 tu. Na graphic ni kali tu.
pes 2019 nadhan nao uefa haitakuwepo.... kulikuwa na rumors kuwa konami wamevunja mkataba
 
Habari za jioni wakuu... Msaada nimekwama apa nafanya installation ya pes 2018 lakin inaitaj serial keay. nazipataje
 
WAKUU NINA PES 18 INACHEZA KWA KEYBOARD TU UKCONNECT NA USB CONTROLLER (PAD) HAZI FUNCTION SO MAYBE KUNA SETING FLAN INABID NIZIWEKE SAWA NAOMBA KUELEKEZWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom