Sorry waungwana nimeweka pes 17 kwenye PC yangu lakini kila nikitaka kulifungua linadaiwa Mara dx3-dill nikaidownload likawa linadai driver nyingine nikaidownload , bado linadai nyingine tena naomba mwenye kujua ni driver gani au ni kitu gani nidownload ili ki-fix hili tatizo? Manake nimedownload direct x lakin bado so naomben mawazo wenu