king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 370
- 579
Ukisoma vizur historia za makocha wa epl haswa wale wakubwa wote
1. Mourinho ana mke wake mzur na watoto wake wa3 wale na juz juz tu kapata mjukuu
2. Benitez ana mke wake na amedumu nae kwa zaid ya miaka 10 na ana watoto wawili
3. Conte unaambiwa huyu ndo yuko kune mahusiano maxur zaid na mke wake alimfarig sana kipnd juve imeshushwa daraja kwa kashfa ya kupanga matokeo na bado wanadumu pamoja
4.jurgen klopp kiuhalisia huyu jamaa n mlokole wa kisasa na anaiheshimu sana ndoa yake ana watoto wawili na familia yenye aman sana
5. Pep guardiola-hApend sana kuongelea maisha yake binafsi ila aman na upendo wa familia yake unaongea mara kwa mara kaonekana akiwa na mke wake mrembo na kufurahia maisha
6.arsene wenger-hajawah kuzungumzia maisha yake binafsi n mpenz wa siasa na uchumi lkn alitalakiana na mke wake akamtelekeza na binti yake sidhan kama ana furaha ya kuishi mbali na binti yake psychologically hana wa kumfarigi na kumtia nguvu
Hitumisho:
Waheshumuni sana wake zenu mpate faragha na mafanikio katika mfanyacho,,,
# king herode[emoji146] mtakatifu_.