Perfumes for Her.

Pasco,

Basi naona hufahamu vizuri mambo ya PERFUME. TESTER siku zote ni kwa ajili ya Promotion na huwa wanazitengeneza chache kwa ajili ya kuzigawa/kuziuza kwa bei nafuu. Wakati mwingine Wasambazaji wanaziiba na kuziuza badala ya kuwauzia kwa bei nafuu wanunuzi wa JUMLA au Wasambazaji wengine.

Hizi TESTER ndiyo zenye QUALITY ya juu ili kuvuta mteja. Ndiyo maana majina makubwa unakuta hata TESTER hawana au wanazo chache sana. Ila kusema ukweli, ukiona mtu anauza TESTER basi ujuwe hizo zimeibiwa sehemu kwani hazitakiwi KUUZWA ila kwa ajili ya watu kujaribu. Na ili iwe hivyo, basi lazima iwe quality ya juu ili watu wazipende. Huwezi kumuwekea mtu SAMPLE mbaya maana akishaonja tu, anakimbia. Inabidi ujitahidi UPIKE vizuri sana chache kama kivutio na wakipenda, ndiyo wanakuja kwenye hizi MASS PRODUCTION ambazo wewe ndiyo unafikiri ni HIGH Quality.

Nirudie tena, upungufu wa bei haimaanishi ni ubaya wake kwa sababu kubwa kwamba hizo ni kwa ajili ya kujaribia na si KUUZA. Watu huwa wanazikwapua na kuuza. Ni sawa na SINGLE za miziki kwa ajili ya Promotion ambazo hupelekwa kwenye Maradio na kwa ma DJ kwenye Madisco. Wakati mwingine wengine huziuza kwenye minada wakati ni makosa. Na kuna watu hununua hasa wanaokusanya miziki kwani humo unaweza kukuta wimbo fulani ambao upo hapo tu na ubora wake upo juu kwani Mass Production haijaanza kufyatua.
Mkuu Sikonge, asante sana kunifungua macho!, kusema ukweli usilolijua ni kama usiku wa giza!. Kwa akili yangu fupi, nilipoona imeandikwa "tester" "not for sale", nikajua kwa vile tester lengo lake ni ku taste tuu na sio chakula lenyewe, nikajua hizi tester, wameweka ladha tuu ya kuonjeshea, hivyo haiwezi kuwa tamu kama chakula yenyewe!.

Sasa nitazinunua hizo tester kwa moyo mkunjufu!.
P.
 
Mi nana alergy sana na pafyum,yani mafua ndo mpango mzima mara chache saaaaaana na tumia tena iliyotulia saaaaaaana,lada niambie ambayo imetulia sana na bei yake na mm ninukie angalau mara moja moja.
Pole sana, Mi nina allergy na vumbi sasa... Natesekaje...!
Well kuhusu Perfume iliyotulia, Jaribu My all time favorite Jean Paul Gaultier EDP 125mls, Naiuza 270,000/=, Hutokaa iujutie hata siku moja, kwani itadumu nawewe Zaidi ya Miezi Tisa.. Mi huwa inakaa Hadi mwaka na Nusu kwasababu ninazo Nyingi...
Halaf Kama Allergy yako ni kali sana, Basi pulizia Leo halaf Nguo uliyipulizia Ivae kesho... Yaani Uturi Ulale na Nguo kidogo.. Hapo Hutosumbuka...
Karibu sana.
 
Hahahaa, sawa Pasco,

Ila uongo mbaya, chupa za TESTER ni mbaya kwa kukosa marembo na rangi rangi zaidi ya maneno machache.

Kama unataka kutesa watu kwa kutoka chupa ya PERFUME basi Tester utashindwa maana kwanza kama ulivyosema imeandikwa NOT FOR SALE. Kwa hiyo kuna wengine anaona tayari inashusha hadhi ya mtu. Ila kwa kujipulizia nyumbani na unatoka, poa sana. Wee endelea nazo tu. Pia mara nyingi hawaweki Mifuniko na mkoba wake hauna marembo pia.

20080227164102.jpg
ck_one_tester1-211x300.jpg

Mkuu Sikonge, asante sana kunifungua macho!, kusema ukweli usilolijua ni kama usiku wa giza!. Kwa akili yangu fupi, nilipoona imeandikwa "tester" "not for sale", nikajua kwa vile tester lengo lake ni ku taste tuu na sio chakula lenyewe, nikajua hizi tester, wameweka ladha tuu ya kuonjeshea, hivyo haiwezi kuwa tamu kama chakula yenyewe!.

Sasa nitazinunua hizo tester kwa moyo mkunjufu!.
P.
 
Mkuu Sikonge, asante sana kunifungua macho!, kusema ukweli usilolijua ni kama usiku wa giza!. Kwa akili yangu fupi, nilipoona imeandikwa "tester" "not for sale", nikajua kwa vile tester lengo lake ni ku taste tuu na sio chakula lenyewe, nikajua hizi tester, wameweka ladha tuu ya kuonjeshea, hivyo haiwezi kuwa tamu kama chakula yenyewe!.

Sasa nitazinunua hizo tester kwa moyo mkunjufu!.
P.

Mkuu Hapo kwenye Nyekundu Panahusika Sana....Smell It and Buy The Original Merchandise... KAribu Sana Uweke Order.
Im Now Taking Orders For November's Delivery, and If all goes Well, Late October.
 
What about Aqua Di Gio by Giorgio Armani?
Armani Aqua di Gio 100mls ni 250,000/= na Armani code 75mls (Hatuna 100mls) ni 210,000/=Tshs...

Karibu sana.

Im Now Taking Orders For November's Delivery, and If all goes Well, Late October.
 
Mkuu Hapo kwenye Nyekundu Panahusika Sana....Smell It and Buy The Original Merchandise... KAribu Sana Uweke Order.
Im Now Taking Orders For November's Delivery, and If all goes Well, Late October.
Asante mkuu Doltyne, acha tujipange pange nitakupa order za zile brand ambazo hazina tester, wengine wetu na mimi nikiwemo, its the "contents" that maters not the decors!. Kwa sababu all my favourates ziko available on testers nitamuomba BJ anishauri some new trials, nahisi we share the same taste!. Hivyo nitapenda kujaribu only zile ambazo ameshazitumia yeye!.
P.
 
Kwa Dar, Rosana anajitahidi sana, na baadhi tuu ya maduka, yapo maduka ya heshima na heshima zake, wanauza counterfeit hadi Mlimani City!. Ukienda super markets nyingi nying siku hizi unazikuta Essay Miyake, Kouros, Dior, Calvin Clein, Armani etc za kumwaga kiukweli, hakuna kitu!.

Kweli kabisa; na bei zake sio mbaya kama huyu mfanyabishara Doltyne.
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu Doltyne, acha tujipange pange nitakupa order za zile brand ambazo hazina tester, wengine wetu na mimi nikiwemo, its the "contents" that maters not the decors!. Kwa sababu all my favourates ziko available on testers nitamuomba BJ anishauri some new trials, nahisi we share the same taste!. Hivyo nitapenda kujaribu only zile ambazo ameshazitumia yeye!.
P.

hakuna Shaka mkuu, Nakushauri Uijaribu Jean Paul Gaultier KOKORIKO... Ni Balaa aisee... Unaweza kutembea watu wanakufata nyuma... Halaf imepoa sana, haina hata makelele...Sio zile perfume mtaa wa pili wananusa...
 
Kweli kabisa; na bei zake sio mbaya kama huyu mfanyabishara Doltyne.
Hahaha, Mkuu Kuna kitu nadhani unashindwa kukielewa... Biashara sio tu Wapi utapata Cheap....Ndio maana kuna chefs Pride na Marry's, Saffron na Break Point... Inategemea Unataka Kula nini Kwa wakati gani na kwa upishi upi...halafu bei ndio inakuwa ya mwisho. Mi ninachoguarantee ni Hutokuja Kununua Replica kutoka kwangu... Halafu Mass Salling Haziwezi Kwendana na itemized Selling... Kuna watu wanaMitaji ya Milioni 100 wanaingiza Perfumes, Hawawezi Kufanana na Sisi wa Kilo 100 za Sh Milioni 20.... Kuna Nyingine anauza kwa faida ya elf20 na Nyingine anauza kwa faida ya Laki Moja kwahiyo zinalipana zenyewe kwa zenyewe... Nadhani Umenielewa...Mi nafanya Hand Picking Mzee, kutokana na Soko lilivyo... Pia Jamaa Hauzi tu Perfumes, lazima kuna vitu vingine anauza kwa bei za kukomoa ila hauwezi kuona kwakuwa unapoenda kwake interest yako inakuwa Perfume ambayo unahisi Umenunua rahisi... NB: Jana Nilipita Duka Moja Nikakuta Wanauza perfume ambayo mimi nauza elf50 wao wanaiuza 120,000... Nikacheka nikaondoka zangu... and Yes Kuna watu watanunua... So kama wewe unavyoona Mfanya Biashara Mimi Nipo Expensive Kuna watu wananiona Nipo CHeap, Ndio maana Perfumes Huwa hazikai zaidi ya wiki moja zinakuwa zimeshaisha...In a Nutshell Business is Good, and its from people like you we prosper by thinking of the challenges you bring in... Thanks.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ha yani nimesoma hii post mpaka computer yote nasikia inanukia pafyum
Penelope, if this is true and not a joke, yaani haya usemayo kama ni kweli uliposoma, umesikia harufu fulani ya perfum, then you have powers zinazoitwa PSI za smell, hizo zinatokana na PSI Powers, ni nguvu za ajabu zinazoitwa wengine huziita parapsychology inspiration, yaani mind yako ina uwezo wa kupokea imaginary signals ukaziconvert into reality, yaani "mind sugestibilitly"

Hizi powers zimegawanyika makundi mbalimbali kama
Clairvoyance -wale wanaowasiliana na the dead ones, huku kwetu wanajifanya kutumia mizimu au kupandisha mashetani.

• Electrokinesis- ni uwezo wa kutengeneza au ku kontroll electric curent, kuzima taa, kuwasha, au kumove kitu chochote kinachotumia umeme bila kukigusa.
• Precognition - ni uwezo wa kuona au kujua jambo litakalo tokeo mbeleni, huku wenye nguvu hizi huitwa watabiri, baadhi ya mashirika makubwa ya ndege likiwemo BA limewaajiri baadhi ya mabingwa hawa kutazamia usalama wa ndege zake, na wakiiona ajali kabla haijatokea hivyo hawarushi ndege!. Wayahudi ndio mabingwa zaidi wa hii kitu, ile siku ya September 11, maelfu ya Jews waliokuwa wakifanya kazi Twin Towers, hawakwenda kazini na wakastuana wote!.
• Telekenisis (also called psychokinesis) - ni uwezo wa kutumia powers of mind to perform physical action kama kupinda vyuma, vijiko etc, wanaitwa "metal benders" Myahudi Uri Geller, alipindisha kijiko cha zawadi kwenye royal wedding ya Prince Charles na Lady Di!.
• Telepathy- ni kuwasiliana kwa kutumia mind, mfano unafika mahali, watu wanakuambia "hufi, sasa hivi tulikuwa tunakutaja!", au wakati unatembea unapotaka kupishana na mtu kwa upande huu nae anakuja upande huu, ukirudi huku na e anarudi huko, mpaka mnakaribia kugongana!. Au unafika mahali, hujawahi kufika hata siku moja, ila unapoana kama mahali hapo ni mahala familia, yaani as if " I've been here before"!. au unakutana na mtu kwa mara ya kwanza, unajiona kama sura hiyo siyo ngeni! hii Wafaransa wanaita "De javu". Kwa kawaida watu ambao wako very close "spiritually wana mawasiliano kama haya mfano identical twins, true lovers, yaani wewe na mpenzi wako samotimes sio lazima aseme anataka, utajua tuu na mwili unajitayarisha hata kabla hajafika!. Ua jambo lolote baya likitokea kwa close family member, unajikuta uko restless or feeling low!, then bad news inakuja!. Mind readers ni branch ya telepathy, mtu kujua unachowaza, au sometimes mtu akisema uwongo, unamjua tuu!. Powers hii ni muhimu sana haswa kwa mwanamke!. Mwanaume akikutokea kwa lengo la kukupitia tuu, japo atakuja kwa gia ya kukupenda, utamjua tuu!. Yaani listerning from your self, utaujua ukweli. Ukiidevelop hii, siku ukipita kona, mwenzio atajua tuu japo hata kuuliza!.
• Teleportation -ni uwezo wa ku move physical things kwa kutumia mind, baadhi wenye uwezo huu huutumia kuiba vitu vya thamani kama pesa "chuma ulete", ukiwa na cashi nyingi, fedha zinachomolewa kiana wewe unashtuka umetumia kidogo, zimeisha, au ulipoweka zinapungua!, vitu kama jewels vina dis apea kimiujiza etc.

Kila binadamu anazaliwa na powers hizi, zina matumizi mazuri zikitumiwa vizuri, ndio hawa mnao waona wanatibu watu, waganga maarufu, wachungaji wafanya miujiza, wahubiri wanaofanya uponyaji, watabiri, wavumbuzi na ma genius wote its all works of powers, zile secret societies zote wakiwemo "freemosons" wanafundishana siri za matumizi ya powers hizi kupata mafanikio!.

Zkitumiwa vibaya ndia hawa wanaojiita wachawi, wanga, majini, mashetani, evil spirits etc!. Mfano kuna mtu ukimuudhi, akikasirika tuu, kesho huamki!. Kuna watu wana midomo michafu, akisema jambo baya linakutokea!.

Mimi binafsi, usafiri wangu siku zote for the past 15 years ni piki piki, "big bikes" huwa naenda nayo popote, Dar-Arusha-Nairobi etc. Wakati wa maonyesho ya Nane Nane yalipokuwa Viwanja vya Themi Hill Arusha, nimepiga nayo to and fro. Yalipohamishiwa Morogoro kwa miaka mitatu mfululizo, nilikuwa nafanya dailky trip, Dar-Moro-Dar kila siku, yaani nalala Dar, asubuhi naenda Moro, natumia 1:45 minutes njiani na siku zote nilikuwa salama!.

Maonyesho yalipohamia Dodoma, by then nilianza new relationship na partner asiependa piki piki, akaanza mahubiri ya kila siku "piki piki hatari!, utapata ajali", mimi kila siku nilipuuza!. Ulipotimu muda wa Nane Nane Dodoma, mimi nikaamua kama kawa!, akanikataza kata kata!, mimi sikusikia nikatimka, kwa kawaida Dar-Dom kwa big bike ni masaa 3:30-4. Nika piga bike gear yangu, moto na moto wake kuelekea Dodoma!. Kwani nilifika!- Kilichofuatia ni historia!.
P.
 
hakuna Shaka mkuu, Nakushauri Uijaribu Jean Paul Gaultier KOKORIKO... Ni Balaa aisee... Unaweza kutembea watu wanakufata nyuma... Halaf imepoa sana, haina hata makelele...Sio zile perfume mtaa wa pili wananusa...
Ok to start with, naanza na hiyo. Confirmed nimeweka order, Nitumie bei na utaratibu wa malipo usinichinje sana maana sina haraka ki vile, ukichinja sana, nitamtuma BJ huwa anasafiri sana, hivyo utaishia kukosa biashara nami. Sijisifu ila mimi ni mnunuzi mzuri wa perfums!. Huyo dada wa UK akitua na hizo testers zake, I spend almost 1,000,000 plus for me, her with my 6 kids!. Uzuri wake kwake its not only perfums bali naleta na items nyingine ndogo ndogo za soap soap!.

Karibu Sana Mkuu,
Kuhusu Manunuzi, Mteja anatoa Security Deposit Ndogo Sana ya 10,000 (Elfu Kumi TU) ili nijiridhishe kuwa Ni mnunuzi wa kweli na anastahili kuletewa order yake, Halaf Hiyo Elfu Kumi inakuja Kuwa deducted kwenye final price, kwa mfano perfume inauzwa 200,000.... Basi Ikishakuja atakuwa analipa 190,000...
Kokoriko 100mls inauzwa 250,000/=
Kokoriko 50mls inauzwa 175,000/=
Kokoriko Gift Set (50mls EDT and 75mls Shower Gel) inauzwa 200,000/=

Karibu sana...
NB: Kwa Mawasiliano zaidi tutaftane kwenye simu namba 0714881500.
 
Karibu Sana Mkuu,
Kokoriko 100mls inauzwa 250,000/=
NB: Kwa Mawasiliano zaidi tutaftane kwenye simu namba 0714881500.
Nimeconfirm 100mls, nimekutumia 20% kwa M-Pesa kwenye number yako as an advance payment, ukileta nitamalizia 80%.
P.
 
Nimeconfirm 100mls, nimekutumia 20% kwa M-Pesa kwenye number yako as an advance payment, ukileta nitamalizia 80%.
P.
I've just recieved it. Thanks. Your order is on the way. U got me thinking right there, I was like where is this munnie coming from... Halaf nikakumbuka utakuwa ni wewe tu, ndio nikalog in nidouble check.
Nb: txt me ur no p'se.
 
No prob.
 
Hahaha, Mkuu Kuna kitu nadhani unashindwa kukielewa... Biashara sio tu Wapi utapata Cheap....Ndio maana kuna chefs Pride na Marry's, Saffron na Break Point... Inategemea Unataka Kula nini Kwa wakati gani na kwa upishi upi...halafu bei ndio inakuwa ya mwisho. Mi ninachoguarantee ni Hutokuja Kununua Replica kutoka kwangu... Halafu Mass Salling Haziwezi Kwendana na itemized Selling... Kuna watu wanaMitaji ya Milioni 100 wanaingiza Perfumes, Hawawezi Kufanana na Sisi wa Kilo 100 za Sh Milioni 20.... Kuna Nyingine anauza kwa faida ya elf20 na Nyingine anauza kwa faida ya Laki Moja kwahiyo zinalipana zenyewe kwa zenyewe... Nadhani Umenielewa...Mi nafanya Hand Picking Mzee, kutokana na Soko lilivyo... Pia Jamaa Hauzi tu Perfumes, lazima kuna vitu vingine anauza kwa bei za kukomoa ila hauwezi kuona kwakuwa unapoenda kwake interest yako inakuwa Perfume ambayo unahisi Umenunua rahisi... NB: Jana Nilipita Duka Moja Nikakuta Wanauza perfume ambayo mimi nauza elf50 wao wanaiuza 120,000... Nikacheka nikaondoka zangu... and Yes Kuna watu watanunua... So kama wewe unavyoona Mfanya Biashara Mimi Nipo Expensive Kuna watu wananiona Nipo CHeap, Ndio maana Perfumes Huwa hazikai zaidi ya wiki moja zinakuwa zimeshaisha...In a Nutshell Business is Good, and its from people like you we prosper by thinking of the challenges you bring in... Thanks.

Husiogope chifu...nimekuelewa vyema kabisa.

Kila la heri kwenye biashara yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom