Perfumes for Her.

Mweeeh!!!! yaani kamshaara kangu ka mwezi hakanunui perfume hata moja hapa!!!!!
 
kuna perfume inaitwa KUROUS ni ya kiume bei gani? will check you by next week to take this one na absolutelly irresistible by Givenchy.
 
Mweeeh!!!! yaani kamshaara kangu ka mwezi hakanunui perfume hata moja hapa!!!!!
Pole Sana mkuu, Sio lazima ununue kwa mshahara mmoja, Unaweza hata kudunduliza zikifika ukanitafuta. Au labda ungeweza kutafuta chanzo kingine cha mapato
 
kuna perfume inaitwa KUROUS ni ya kiume bei gani? will check you by next week to take this one na absolutelly irresistible by Givenchy.
Kouros by YSL 50mls ni 200,000/=Tshs, na 100mls ni 280,000/=Tshs
Karibu sana.
Kwa Kouros Itabidi uweke order tukuletee Early next month. Kwa wiki Ijayo itakuwa ngumu... Tunaleta mzigo kila wiki ya kwanza ya mwezi.

NB: Kuna mtu nilishamjibu hili hapo mwanzo....Absolutely Irresistible 30mls ni 220,000/=Tshs ( Hii kwa USA Market kwahiyo ipo ghali kidogo, kama unataka ya UK Market fragrance ipo inayoitwa Very Irresistible ya 75mls ni 220,000/=Tshs)
 
Belinda jacob, umeulizia perfums za kiume, unamnunulia Mr?.
Au na wewe you belong to the group of ladies who 'think" like men?, they likes men's perfumes!.
Wife wangu ana prefer perfumes zangu kuliko zake!.

The main difference betwen men and women is men "think" and women "feels"!.
P.

Yaani umejuaje, napenda perfumes zenu, nyingi zimetulia sana. Mr nae analalamika akinunua au nikimnunulia mie kutwa kuzipulizia zake nammalizia halafu yeye hawezi hata kujaribu za kwangu. do you like to try out different perfumes au kuwa na identity? Nina collection nyingi.

Mkuu Doltyne ningekushauri u-edit post yako ya kwanza na kuweka list ya perfumes zote ulizoulizwa na price zake ili mtu mwingine akiingia aone list yote kwanza ndiyo aulize kama perfume anayohitaji haijatajwa.Itaokoa muda yako sana. Ni wazo tu, kila la kheri na hii biashara!!
 
Last edited by a moderator:
Kouros by YSL 50mls ni 200,000/=Tshs, na 100mls ni 280,000/=Tshs
Karibu sana.
Kwa Kouros Itabidi uweke order tukuletee Early next month. Kwa wiki Ijayo itakuwa ngumu... Tunaleta mzigo kila wiki ya kwanza ya mwezi.

NB: Kuna mtu nilishamjibu hili hapo mwanzo....Absolutely Irresistible 30mls ni 220,000/=Tshs ( Hii kwa USA Market kwahiyo ipo ghali kidogo, kama unataka ya UK Market fragrance ipo inayoitwa Very Irresistible ya 75mls ni 220,000/=Tshs)

thx a lot,mi nimeizoea Absolutely irresistible. hyo very irresistible sijawahi tumia
 
Yaani umejuaje, napenda perfumes zenu, nyingi zimetulia sana. Mr nae analalamika akinunua au nikimnunulia mie kutwa kuzipulizia zake nammalizia halafu yeye hawezi hata kujaribu za kwangu. do you like to try out different perfumes au kuwa na identity? Nina collection nyingi. !!
Belinda Jacob, that mens you think like men, not 'feel' like women!. Mr akipenda za kike, ingekuwa balaa!. Ila pia usishangae, wako mijiaume sio tuu inatumia perfums za kike, mpaka inavaa ...za kike!.

Yes I would like to try as many as I can, kwa kawaida huwa nafanya shopping yangu ya perfums kwenye inflight magazine au duty free shops en route. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia CK One, hiyo ndiyo always ninayo, safari fulani niliijaribu PACO nikaipenda, kila nikiiulizia sijawahi tena kuikuta popote mpaka niliposafiri tena, ndipo nikajua kuna baadhi ya perfums wanatengeza za kuuza duty free shops za inflights ya baadhi tuu ya mashirika ya ndege. Pia ninaipenda Farheight. Kwa kawaida hununua baadhi na kujikuta nimeishia kuzigawa kwa my boys. Binti yangu nae anafuata tabia ya mama yake, kupenda men's fragances.

Kwa Dar, Rosana anajitahidi sana, na baadhi tuu ya maduka, yapo maduka ya heshima na heshima zake, wanauza counterfeit hadi Mlimani City!. Ukienda super markets nyingi nying siku hizi unazikuta Essay Miyake, Kouros, Dior, Calvin Clein, Armani etc za kumwaga kiukweli, hakuna kitu!.

Yuko dada mmoja wa UK anaduka lake Mbezi Beach, yeye pia anajitahidi kuleta few genuine from UK na ma famba kibao!. The good thing about yeye, nyingi ya zile famba zimeandikwa kabisa ni "tester" hivyo concentration yake ni a bit low, nimenunua machupa yangu makubwa mawili ya CK One, 200mils kwa 200,000 each!. Bei zake ni reasonable ila most of them ni "opened items" lakini genuine!. Big names zozote ukitaka anakuletea by order.

Pia kuna Mhe. Mbunge mmoja mdada, ana kiduka chake pale bakery ya Mlalakuwa, yeye ananunua kwenye ndege, hivyo halipi duty tena anapitia VIP, ila bei ana kamua!, kale ka CK One kadogo, nadhani 25 mls amenipiga kwa 180,000!. I had to take it tuu kwa sababu kako handy kanakaa kwenye gari!.

Kwa vile wewe uko huko, nifanyie collection mimi nitarekebisha, hawa wafanya biashara wanatuchinja sana, kutonyonga mpaka kutaka kutuua!.
P.
 
thx a lot,mi nimeizoea Absolutely irresistible. hyo very irresistible sijawahi tumia

Hakuna shaka Mkuu, Ninaweza kukuletea Next month hata kama inatoka USA. Usiwe na shaka, Karibu sana.

Cha Muhimu Ni kuweka ahadi ya manunuzi na kuwa muaminifu katika dhamira yako. Mi sina tatizo lolote na kuhangaika kwa ajili ya wateja wangu.
 
Yaani umejuaje, napenda perfumes zenu, nyingi zimetulia sana. Mr nae analalamika akinunua au nikimnunulia mie kutwa kuzipulizia zake nammalizia halafu yeye hawezi hata kujaribu za kwangu. do you like to try out different perfumes au kuwa na identity? Nina collection nyingi.

Mkuu Doltyne ningekushauri u-edit post yako ya kwanza na kuweka list ya perfumes zote ulizoulizwa na price zake ili mtu mwingine akiingia aone list yote kwanza ndiyo aulize kama perfume anayohitaji haijatajwa.Itaokoa muda yako sana. Ni wazo tu, kila la kheri na hii biashara!!

Asante kwa ushauri Bel, Nilichokifanya kwenye post ni kupost perfume zilizobaki kwenye stock yetu ya mwezi huu... Na kukaribisha wateja wapya kwenye mzigo unaokuja, Nimeshapata mtazamo wa nini kitakuja Nov, kwahiyo Mungu akipenda ntakuja na post mpya Mwezi ujao iliyosheheni perfume zote zilizouliziwa hapa.

Karibuni sana.
NB: Kwa mawasiliano Zaidi Tafadhali Msisite Kuwasiliana nami kwa Simu/Txt au WhatsApp via 0714881500.

Karibuni tena na tena.
 
my favourite perfume niliinunua kwa elfu 50 tu....

Mkuu ulinunua wapi?...sijapata wasaa wa kusafiri na kunua kama duty free naona bei za hapa home ni kubwa kidogo kwa mfano pale Mlimani inauzwa 150000 na hapa jamvini naona jamaa anasema anayo kwa 260000
 
ngoja nizicheki halafu nitakujulisha kuna mama ana duka lake la vipodozi... nikizipata nitaku PM halafu nitakuelekeza
 
ngoja nizicheki halafu nitakujulisha kuna mama ana duka lake la vipodozi... nikizipata nitaku pm halafu nitakuelekeza

mkuu manyanza hapo nilipo-bold nadhani kama vile hapana tija kwa wadau wengi wa jf...kweli mkuu unataka kuficha deal kama hilo ambalo wengi tunge-save kitu kama laki 2 in a singe shopping ya perfume....

Acha hizo mkuu weka deal mezani kila mtu ajue atafikaje hapooo vunja bei shop...ila kama vile utakuwa unaua soko la mwenye-mada yake.
 
Perfumes from the UK.
Elizabeth Arden - SPLENDOR EDP 125mls: Price 100,000/= Tshs
Elizabeth Arden - PROVOCATIVE WOMAN EDP 30mls: Price 50,000/= Tshs
Sean John - UNFORGIVABLE WOMAN EDT 30mls: Price 70,000/= Tshs
Avon - Far Away EDP 50mls: Price 50,000/= Tshs

Call/Text/WhatsApp 0714881500 for more info and orders.
NB: Limited Supply, Available from Sunday the 7th Oct 2012.

Ha yani nimesoma hii post mpaka computer yote nasikia inanukia pafyum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom