Perfumes for Her.

Nipe bei ya hizi, Polo by Ralph Lauren au Polo Black by Ralph Lauren. Ntakutafuta this week
 
asante,but naona bei zenu zipo juu sana...
 
Mi napenda Issey Miyake (for him)
Issey Miyake (For her)

na Hugo Boss Femme (for her) bei na lini zitapatikana?
 
Nipe bei ya hizi, Polo by Ralph Lauren au Polo Black by Ralph Lauren. Ntakutafuta this week
Polo By RL 59mls bei ni sh 180,000/=Tshs na 118mls 230,000/=Tshs
Polo Black 40mls bei ni 120,000/=Tshs na 75mls ni 150,000/=
Karibu sana.
 
asante,but naona bei zenu zipo juu sana...
Ni kweli bei zetu zipo juu. Kwasababu tunauza originals only... tunanunua kwenye retails shops za UK ambazo hata Tonny Blair anaweza kuingia na kununua, Hatununui jumla wala kwenye warehouses ama customer returns outlets kama wafanyavyo washindani wetu wengi etc kwasababu tunataka kuhakikisha Mteja anatumia Genuine Brand... Na kwakuwa uhakiki wa counterfreight materials unachukua muda, hatupendi kuhangaika na unreliable souces of supply..
Pili: Tunasafirisha mzigo kwa ndege kwa kutumia express cargo service which costs us a fortune na Tunalipa kodi airport ambayo ni asilimia 43 ya manunuzi, whereby 18% ni VAT na 25% ni import duty. Nadhani umenielewa.. Tafadhali usisite kuwasiliana nami pale tu unapohitaji chochote katika huduma zetu.
Lastly: Tunafanya Biashara kwa tija na malengo, kwahiyo kafaida kidogo kanakuwepo...
Asanteni sana kwa uelewa.
 
COBRA bei gan mkuu, teh!

Cobra hatuuzi mkuu, kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu na muundo mzima wa biashara. Samahani kwa kushindwa kuwepo katika huduma yako kwa sasa.
Karibu tena.
 
Mi napenda Issey Miyake (for him)
Issey Miyake (For her)

na Hugo Boss Femme (for her) bei na lini zitapatikana?

Issay Miyake for him 40mls 120,000/=Tshs, 75mls 150,000/=Tshs, na 125mls 180,000/=Tshs
Issay Miyake for her 25mls 100,000/=Tshs, 50mls 150,000/=Tshs, na 100mls 180,000/=Tshs
Hugo Boss femme 30mls 100,000/=Tshs, 50mls 150,000/=Tshs, na 75mls 175,000/=Tshs

Karibu sana.
 
Je, perfume hizi za kiume mnazo? shs ngapi hata kama mnaleta kwa order?

1. C/Dior Homme Intense 100ml
2. Bleu de Chanel 100ml
3. D&G Light Blue 125ml

Thanks!!
Belinda jacob, umeulizia perfums za kiume, unamnunulia Mr?.
Au na wewe you belong to the group of ladies who 'think" like men?, they likes men's perfumes!.
Wife wangu ana prefer perfumes zangu kuliko zake!.

The main difference betwen men and women is men "think" and women "feels"!.
P.
 
my favourite perfume niliinunua kwa elfu 50 tu....

Duh, aisee hiyo perfume uliipataje kwa elf50 wakati manunuzi tu ni 100,000 na ushee... au ilikuwa sample?
 
Duh, aisee hiyo perfume uliipataje kwa elf50 wakati manunuzi tu ni 100,000 na ushee... au ilikuwa sample?

ndio yenyewe mkuu niliinunua kwenye duka la mama mmoja hivi na mara nyingi hua anauza vipodozi hasa vya kike nadhani bei ilimpiga chenga na inakribia kuishi nitamcheki tena kama anazo..
 
ndio yenyewe mkuu niliinunua kwenye duka la mama mmoja hivi na mara nyingi hua anauza vipodozi hasa vya kike nadhani bei ilimpiga chenga na inakribia kuishi nitamcheki tena kama anazo..

Hahaha, Mpelekee change yake mkuu, manaake nina uhakika umeitumia zaidi ya miezi sita kama huifanyi air freshener. LoL
 
Hahaha, Mpelekee change yake mkuu, manaake nina uhakika umeitumia zaidi ya miezi sita kama huifanyi air freshener. LoL

niliinunua mwezi may na hua najipulizia mikononi na nyuma ya masikia tu.. sehemu zingine huwa najipulizia Body spray.. Axe Chocolate
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…