Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,225
Kwahiyo???ππBado nasubiria aisee
Nakusikiliza unipe mwalikoKwahiyo???
Em niachie mume wangu jomoniiiπππnini lakiniii...hata gari haendeshi za japani...upo nyonyoπππsasa si unamjua mumeo anavyojishauga na zile gari zake na vitu vya Uk
Mambo ya habbat soda me siyawezi aiseeπππVinavutia majini
Utakuja..???πNakusikiliza unipe mwaliko
Em niachie mume wangu jomoniiinini lakiniii...hata gari haendeshi za japani...upo nyonyo
Habari ndio hiyooooπππwaambie na wenzakoπnipoooo nyonyoo
NitaangaliaUtakuja..???
Najuaaa.....πNitaangalia
Kwani hazipo?Unataka na perfume isiyozidi 15???
Zipo kibwenaaaKwani hazipo?
Sasa sio wote wenye uwezo kama mume wako R si anatumia za 200k
Mwenza nahitaji maelezo.Huna akili ujueenyau wewe....hiyo 200k ujue mshahara wa mtu per month???we jishaue tuu
Mume wetu jina lake la pili linaanza na R mwenzaπMwenza nahitaji maelezo.
Za elfu5 ndio nataka.Zipo kibwenaaa
Mwenza ujue mie sio mtoto mwenzio eeh?Mume wetu jina lake la pili linaanza na R mwenza
Mimi siwezi kukunulia hiyo mwenzaZa elfu5 ndio nataka.
πππMwenza ujue mie sio mtoto mwenzio eeh?
Unaninunulia ipi sasa mwenza?Mimi siwezi kukunulia hiyo mwenza