Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,220
Kwahiyo???😋😋Bado nasubiria aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo???😋😋Bado nasubiria aisee
Vinavutia majiniHahah siwezi paka hata bure...
Nakusikiliza unipe mwalikoKwahiyo???
Em niachie mume wangu jomoniii😂😂😂nini lakiniii...hata gari haendeshi za japani...upo nyonyo👌👌👌sasa si unamjua mumeo anavyojishauga na zile gari zake na vitu vya Uk
Mambo ya habbat soda me siyawezi aisee😂😂😂Vinavutia majini
Utakuja..???😊Nakusikiliza unipe mwaliko
Mambo ya habbat soda me siyawezi aisee
nipoooo nyonyooEm niachie mume wangu jomoniiinini lakiniii...hata gari haendeshi za japani...upo nyonyo
Habari ndio hiyoooo😂😂😂waambie na wenzako👌nipoooo nyonyoo
NitaangaliaUtakuja..???
Najuaaa.....😛Nitaangalia
Kwani hazipo?Unataka na perfume isiyozidi 15???
Zipo kibwenaaaKwani hazipo?
Sasa sio wote wenye uwezo kama mume wako R si anatumia za 200k
Mwenza nahitaji maelezo.Huna akili ujueenyau wewe....hiyo 200k ujue mshahara wa mtu per month???we jishaue tuu
Mume wetu jina lake la pili linaanza na R mwenza😂Mwenza nahitaji maelezo.
Za elfu5 ndio nataka.Zipo kibwenaaa
Mwenza ujue mie sio mtoto mwenzio eeh?Mume wetu jina lake la pili linaanza na R mwenza
Mimi siwezi kukunulia hiyo mwenzaZa elfu5 ndio nataka.
😇😇😇Mwenza ujue mie sio mtoto mwenzio eeh?
Unaninunulia ipi sasa mwenza?Mimi siwezi kukunulia hiyo mwenza