Perfect Woman As Created By God

Perfect Woman As Created By God

Allien

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2008
Posts
5,546
Reaction score
1,861
Kazi ya Mungu haina Makosa. Alipomaliza Uumbaji vitabu vitakatifu vinasema: "Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana".

Je alitumia Formula gani au hesabu gani Kumwuumba Mwanadamu na hasa Hawa/Eve ambaye yeye alitolewa kutoka katika ubavu wa Adam?

Sayansi ya leo na Mathematics vimegundua "Golden Ratio" ambayo Mungu aliitumia na hivyo kumwuumba Mwanamke Mkamilifu Sana 'A Perfect Woman". Uko karibu au umbali gani kutoka katika Divine Proportion?

Pata details zaidi kutoka katika picha hii:

attachment.php
 
Attachments

  • Perfect Woman.jpg
    Perfect Woman.jpg
    168.5 KB · Views: 963
Nimemkubali Sir God. Kitu namba 8. Mguu wa Uhakika. Kifua usiseme. Totoz original inatakiwa iwe imepanda juu na hakuna nyama uzembe wala mapaja kusuguana.

Haluuuuu!
 
Sisi wenye manyama uzembe halafu tumeshuka chini vifutu, Sir God alikosea?

Haaaa haaaa ED umenichekesha. Kwa maoni yangu ration haijalishi kama umepanda juu au umeshuka chini. Ina maana kwa urefu wowote lazima upate ration hiyo kama utakuwa katika "Divine Proportion". Nyama uzembe nadhani inarekebishika kwa mazoezi na kuacha kula kula Chips zege nk nk. lol!
 
Hapo umeziba au paliumbwa hivyo au wewe ndio umekosea kuziba?
 
Ukienda jukwaa la kuleeeeee, utakuta pako wazi. Hapa pana watoto unajua na hili ni somo maalunu ya kumsifia Sir God jinsi Hesabu zake zilivyo za uhakika!
 
Mkuu nielekeze njia ya kufika huko.
 
Nimemkubali Sir God. Kitu namba 8. Mguu wa Uhakika. Kifua usiseme. Totoz original inatakiwa iwe imepanda juu na hakuna nyama uzembe wala mapaja kusuguana.

Haluuuuu!
mawazo yaake huyoo mtoa mada.Mungu aliumba wote sawa.
 
Ukienda jukwaa la kuleeeeee, utakuta pako wazi. Hapa pana watoto unajua na hili ni somo maalunu ya kumsifia Sir God jinsi Hesabu zake zilivyo za uhakika!

kwani hao watoto wamezibwa? wao hawajioni? paacheni tu msipazibe tupo darasani
 
Afu kumbe a perfect woman is mzungu?
 
Mods jamani mods amkeni jamani.. Eee..!
 
Haaaa haaaa ED umenichekesha. Kwa maoni yangu ration haijalishi kama umepanda juu au umeshuka chini. Ina maana kwa urefu wowote lazima upate ration hiyo kama utakuwa katika "Divine Proportion". Nyama uzembe nadhani inarekebishika kwa mazoezi na kuacha kula kula Chips zege nk nk. lol!

Habari za masiku big boss?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom