Utango tango tena!!!!...ndugu zetu kazi mnayoUtango tango pia
Misitari ya kijani na ukiacha kuipaka unakua na rangi flan hivi mbayaaaaaa
Yaani sijui ni ipi ina nafuu kati ya cream yake au lotionUtango tango pia
Misitari ya kijani na ukiacha kuipaka unakua na rangi flan hivi mbayaaaaaa
Yaani sijui ni ipi ina nafuu kati ya cream yake au lotion
Au nihamie dodo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utango tango tena!!!!...ndugu zetu kazi mnayo
Yaani sijui ni ipi ina nafuu kati ya cream yake au lotion
Au nihamie dodo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia boutoer
Boutoer ni kwa usoni na it depends na ngozi yako kuna ya mafuta na ngozi kavu
Ukipaka mwilini labda umix maana ni ndogo mno ila kwa usoni inakaa hata miezi3
Mm nina ngoz ya mafutaUkiwa unaitumia changanya na asali na either olive oil or coconut oil.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natumia queen elizabeth body cream muda tu almost mwaka wa tatu huu na inanipenda vzr pmj na gryceline ila nimeanza kunote miguuni km michirizi ya kijani imeanza kutoka. Nayo naweza changanya mafuta ya nazi ndani?Ukiwa unaitumia changanya na asali na either olive oil or coconut oil.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa mweupe?Mi natumia queen elizabeth body cream muda tu almost mwaka wa tatu huu na inanipenda vzr pmj na gryceline ila nimeanza kunote miguuni km michirizi ya kijani imeanza kutoka. Nayo naweza changanya mafuta ya nazi ndani?
hapana imening'arisha tu rangi ninayo toka zamani.Umekuwa mweupe?