Perfect white haifai kabisa inaleta white dots

Tumia queenWhite kopo kubwa elfu 50
Muuzaji 0714 514 154
Ni nzuri sana
 
Boutoer ni kwa usoni na it depends na ngozi yako kuna ya mafuta na ngozi kavu

Ukipaka mwilini labda umix maana ni ndogo mno ila kwa usoni inakaa hata miezi3

Napaka usoni na mwilini ingawa kuna muda huwa mwilini napaka Organics.
 
Ukiwa unaitumia changanya na asali na either olive oil or coconut oil.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natumia queen elizabeth body cream muda tu almost mwaka wa tatu huu na inanipenda vzr pmj na gryceline ila nimeanza kunote miguuni km michirizi ya kijani imeanza kutoka. Nayo naweza changanya mafuta ya nazi ndani?
 
Umekuwa mweupe?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom