hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Kumbe ni Kenya
Zinaitwaje mkuu?.
nnnhh!!!!!,wewe sasa!!.
Mkuu platozoom chochote unachokitumia kama kinakubadilisha kwa namna yeyote tambua hicho ni kilevi, usiingieze mambo yanayohusu maslahi ya wananchi na mambo binafsi.
Kumbe ni Kenya
Mkuu, are you serious?
you think am not?
Yes, I think so, as your comment indicated disinterest in the topic simply because the issue occured in Kenya! Kenyan products have flooded Tanzanian market than Tanzanian products in Kenya!
Wabongo bana, kwa hiyo mnaona bangi ni mbayaa kushinda ngono holela na matusi!!!
Hivi huo mmea uliwakosea nini. Mbona hayajatajwa madhara ya kula chakula chenye bangi, refer Wahehe.
Cc Mphamvu
Na usisahau kuna Watu wanaitumia kwa matibabu.
Unasema chochote unachokitumia kikikubadilisha vyovyote kinakuwa kilevi?!! Hata dawa za malaria MTU akinywa zinamtia "unyonge". Nazo ni ulevi tusizitumie?