Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,235
- 4,382
Usiamini maneno yao, tazama matendo yao. Angejiongeza akaacha upepo upite kwanza.Hata ungekuwa ni wewe kwa kauli ile ya Mhe. Zungu lazima ungechukua fomu.

Kwenda zako huko wewe. Kwani Yatima wapi wangapi Mitaani? Je wote ni wabunge? Kwani nani kwakwambia vyeo vinagawiwa kama karanga za kuonja? Acha kumchafua Mheshimiwa RaisMama yenu anaroho ya kikatili sana kamchukia mama mpaka mtoto wakati yeye mama yenu kajaa tele na mtoto wake na mkwe wake na ndugu kibao ila kaona uyu yatima astahilli kitu ajifie uko na mama yake
Wanu anasema HiKwenda zako huko wewe. Kwani Yatima wapi wangapi Mitaani? Je wote ni wabunge? Kwani nani kwakwambia vyeo vinagawiwa kama karanga za kuonja? Acha kumchafua Mheshimiwa Rais
Halafu kamati kuu wanateua mbunge watawakilishwa wao!? Wenyejimbo ndo wanajua wanayemtaka halafu unawaletea mtu mwingine ili iweje. Ndo maana hakuna uwajibikaji katika nchi hii, uongozi umekuwa zawadi kwa kwa kikundi cha watu.Kwenda zako huko wewe. Kwani Yatima wapi wangapi Mitaani? Je wote ni wabunge? Kwani nani kwakwambia vyeo vinagawiwa kama karanga za kuonja? Acha kumchafua Mheshimiwa Rais
Lucas kwenye hili usimtetee Samia bana kumweka mwanae naibu waziri shemeji na wakwe zake hapo kakosea sana tuwe wawazi na wakweli , kuhusu maandamano nilimtetea sana kulinda serikali isiangushwe na vibaka, awe kama mzeee mkapa usijaze wanao inaleta chuki , Mchengerwa ni sahihi sana ni bonge ya waziri nilikuwa namkubali sana toka enzi ya awamu ya tano akiwa wizara ya michezo akifanya kazi nzuri mno lakini wanu angeendelea kula mafao ya mama na ya ubunge , sawa sawa na Salma kikwete kihalali hastahili kungangania tena ubunge tayari alishakuwa first lady ana mafao ya kutosha na heshima tele awaachie damu changa walete mambo mapyaKwenda zako huko wewe. Kwani Yatima wapi wangapi Mitaani? Je wote ni wabunge? Kwani nani kwakwambia vyeo vinagawiwa kama karanga za kuonja? Acha kumchafua Mheshimiwa Rais
Dah! Hakuna haki hapo aisee. Imagine aliyepata karibu kura 3000 anajisikiaje?
Hasara ni wananchiAsipofanya ziara yeye kama yeye anapata HASARA gani?
Sijakuelewa Mkuu naomba unifafanulie HASARA ambazo Samia kama Samia atazipata kwa kutokufanya ziaraHasara ni wananchi
Sasa kuna faida gani kugombea kuongoza watu ambao huwezi hata kuonana nao?
Muda kama huu JPM alikua kwenye mitaa, hospitalini na bandarini kukagua kero!! Sasa atajificha mpaka lini.
Kule yupo mpaka baba levo, babu tale itakuwa huyo dogoSi watampa ka cheo kakumfuta machozi,
,huyu dogo wamemuona zamwamwa kumpeleka bungeni.
Shetani hana rafiki 💺💺💺💺💺💺🤣🤣🤣🔥Dah! Hakuna haki hapo aisee. Imagine aliyepata karibu kura 3000 anajisikiaje?
Wapiga kura walimchagua Victor kwa kutumia moyo badala ya ubongo. Yaani walikuwa wanataka kumlipa fidia kwa kupotelewa na Mama yake lakini sio kwamba alikuwa na uwezo mkubwa kuliko wagombea wengine. Uteuzi wa mwisho ulitumia ubongo badala ya moyo. Victor alianza kupiga kampeni kwenye msiba wa mama yake, hovyo kabisa.Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.
Uchaguzi mdogo wa ubunge wa Peramiho utafanyika Alhamisi ya Februari 26, 2026 ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Jenista Mhagama ambaye alifariki dunia Desemba 11,2025, katika Hospitali ya Benjamin Mkaра kwa ugonjwa wa moyo.
Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dkt. Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.
Wengine na kura zao kwenye mabano ni Getrude Haule (2,913), Dkt. Joseph Mhagama (943), Frank Matola (215), Dkt. Lazaro Kiomba (213), Dkt. Damas Mapunda (200) na Isabellah Mwampamba (131).
Soma Pia: Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho
Wengine ni Joseph Masikitiko (126), Erasmo Mwingira (124), Allen Mhagama (114), Schoral Ngonyani (84), Lazaro Ndenji(68), Davis Ngonyani(62), Thea Ntara (57), Emil Ngaponda (51), Serafina Mkuwa (48), Clemence Mwinuka (35), Emelian Mbawala (24), Benjamin Kamtawa (23), Prosper Luambano (22), Dominic Mahundi(19), Fredrick Millinga (17), Sixmund Rungu (9), Rose Shawa (7), Rosemary Ngonyani(6), Enoc Moyo (6).
Chanzo: Mwananchi Digital
Hata dogo Dully ataingia serikalini, ni suala la muda tu. Miinyi yote Iko serikalini inatafuna cake ya nchi tu.Lucas kwenye hili usimtetee Samia bana kumweka mwanae naibu waziri shemeji na wakwe zake hapo kakosea sana tuwe wawazi na wakweli , kuhusu maandamano nilimtetea sana kulinda serikali isiangushwe na vibaka, awe kama mzeee mkapa usijaze wanao inaleta chuki , Mchengerwa ni sahihi sana ni bonge ya waziri nilikuwa namkubali sana toka enzi ya awamu ya tano akiwa wizara ya michezo akifanya kazi nzuri mno lakini wanu angeendelea kula mafao ya mama na ya ubunge , sawa sawa na Salma kikwete kihalali hastahili kungangania tena ubunge tayari alishakuwa first lady ana mafao ya kutosha na heshima tele awaachie damu changa walete mambo mapya
Serikalini Kuna nafasi nyingi, mkisahau atatafutiwa sehemu atapachikwa hapo.Sa itakuaje na mafao ya mama kamalizia kwenye kampeni 😂
Hahahhaa.. kabisa kabisaShetani hana rafiki 💺💺💺💺💺💺🤣🤣🤣🔥
SasaKamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.
Uchaguzi mdogo wa ubunge wa Peramiho utafanyika Alhamisi ya Februari 26, 2026 ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Jenista Mhagama ambaye alifariki dunia Desemba 11,2025, katika Hospitali ya Benjamin Mkaра kwa ugonjwa wa moyo.
Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dkt. Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.
Wengine na kura zao kwenye mabano ni Getrude Haule (2,913), Dkt. Joseph Mhagama (943), Frank Matola (215), Dkt. Lazaro Kiomba (213), Dkt. Damas Mapunda (200) na Isabellah Mwampamba (131).
Soma Pia: Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho
Wengine ni Joseph Masikitiko (126), Erasmo Mwingira (124), Allen Mhagama (114), Schoral Ngonyani (84), Lazaro Ndenji(68), Davis Ngonyani(62), Thea Ntara (57), Emil Ngaponda (51), Serafina Mkuwa (48), Clemence Mwinuka (35), Emelian Mbawala (24), Benjamin Kamtawa (23), Prosper Luambano (22), Dominic Mahundi(19), Fredrick Millinga (17), Sixmund Rungu (9), Rose Shawa (7), Ros
SaKamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.
Uchaguzi mdogo wa ubunge wa Peramiho utafanyika Alhamisi ya Februari 26, 2026 ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Jenista Mhagama ambaye alifariki dunia Desemba 11,2025, katika Hospitali ya Benjamin Mkaра kwa ugonjwa wa moyo.
Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dkt. Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.
Wengine na kura zao kwenye mabano ni Getrude Haule (2,913), Dkt. Joseph Mhagama (943), Frank Matola (215), Dkt. Lazaro Kiomba (213), Dkt. Damas Mapunda (200) na Isabellah Mwampamba (131).
Soma Pia: Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho
Wengine ni Joseph Masikitiko (126), Erasmo Mwingira (124), Allen Mhagama (114), Schoral Ngonyani (84), Lazaro Ndenji(68), Davis Ngonyani(62), Thea Ntara (57), Emil Ngaponda (51), Serafina Mkuwa (48), Clemence Mwinuka (35), Emelian Mbawala (24), Benjamin Kamtawa (23), Prosper Luambano (22), Dominic Mahundi(19), Fredrick Millinga (17), Sixmund Rungu (9), Rose Shawa (7), Rosemary Ngonyani(6), Enoc Moyo (6).
Chanzo: Mwananchi Digital
emary Ngonyani(6), Enoc Moyo (6).
Chanzo: Mwananchi Digital
Samila kamdhulumu hadi mtoto yatima....wa kwake...wamoKamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.