Safi sana na mitishrt yao iyo wanaigawa bure jana nilicheka sana manyoni walikuwaa wanagawa matishirt bure akina mama wakawa wanakimbilia wanaimba wanaenda chukua madekio majamaa kusikia ivo wakavunga et wanauza tshirt elfu 10 teh teh teh wapeni madekio jamani mbona mnakuwa ivoo
mh,magufuli hajui kuwa watanzania wako gizani pesa za escrow zingetosha kama sio kumaliza hali hii uchumi wa mtu mmoja mmoja unaporomoka huku maisha yakizidi kuwa magumu ,kifimbo hoye .kofia hoyee,nikitoka hapa naenda kupiga push up zangu kumi pengine matatizo yatapungua, udumu ukawa ulipo tupo tutashinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.