chabichabi
Member
- Jul 31, 2015
- 92
- 39
hahHaaha juzi nilichukua mitsht miwili yote nishadekia
Safi sana na mitishrt yao iyo wanaigawa bure jana nilicheka sana manyoni walikuwaa wanagawa matishirt bure akina mama wakawa wanakimbilia wanaimba wanaenda chukua madekio majamaa kusikia ivo wakavunga et wanauza tshirt elfu 10 teh teh teh wapeni madekio jamani mbona mnakuwa ivoo