Labda mkataba ulishaishasasa uyo jamaa c ni balozi was coca cola ??hii imekaaje
Mofaya kusheyFyekeleea mbalii Visoda soda vingine...
MoFayaa Fyekeleea mbali
[emoji58] [emoji58] [emoji58] [emoji58] [emoji58]
View attachment 935976View attachment 935977
hiyo ni international product achana na hivi vidude vingine sijui fire Mo sijui ushuzi gani hukoMh siku hizi kampuni kudhamini hazitaki zinaogopa kuonekana zina hela. Pepsi wamejitoa kimasomaso
Pepsi na mofaya ni vinywaji tofauti. Huenda mofaya ikaja kama wadhamini wadogo.
Kwa nini mkuu, mofaya ni energy drink, pepsi ni soda....nieleweshe kidogo hapo.Haiwezekani
apo sawaLabda mkataba ulishaisha
Mbona muda tu bossHapo ndo utajua wale wafuata upepo, wote nao wanahamia kwa Pepsi haahaa Hata alokuwa haipendi asahivi ataipenda...Hapana chezea promo wewe
Na wewe mkuu umeanza kunywa Pepsi asahivi amaMbona muda tu boss
Yaani mimi ni kama nilivyo hama Na Cristiano Ronaldo.Na wewe mkuu umeanza kunywa Pepsi asahivi ama