Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Hahahahaha una mambo sana wewe kwa kutabirii sikuweziKwahiyo anawacheka Clouds? Domo Mkono wake mbona umebabuka na vipele? Tayari dalili za minjingu zishaanza?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.Hahahahaha una mambo sana wewe kwa kutabirii sikuwezi
Rafiki nimekumissMwanaume wa Dar!
Rafiki usihofu kuna siku tutaanza kuwa pamoja na kitimoto utaanza kula pia![emoji1][emoji1][emoji1]Rafiki nimekumiss
Wew ndo mange kimambi wa kiume sioNjia anazopitia huyu jamaa hazina tofaut na za wenzake, future yake ina mashaka pia.
Mwenzio Kiba yuko zake Kahama anapiga show one man army na atajaza uwanja lkn hana kelele km zake.
Huyu atatumiwa na Kusaga then mwishoni atabaki kapuku km wenzie tuu.
Hivi wasanii wetu mnapokwama ni wapi?
Rafiki siwezi kula kitimoto kitatutenganishaRafiki usihofu kuna siku tutaanza kuwa pamoja na kitimoto utaanza kula pia![emoji1][emoji1][emoji1]
Halaf unamalizia ntaaaa weweeeeeKicheko + Umbea ili usikike kuwa umecheka
angemalizia ivi tunaita fund skert amshoneeHalaf unamalizia ntaaaa weweeeee
Wacha nchezoo anasemaangemalizia ivi tunaita fund skert amshonee
[emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki siwezi kula kitimoto kitatutenganisha
Vibe kama? Malizia basi mkuu.Kwahiyo anawacheka Clouds? Domo Mkono wake mbona umebabuka na vipele? Tayari dalili za minjingu zishaanza?