mwahaja
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 391
- 105
Jamani mwenzenu naingiliwa na mke wa mtu hapa muda huu,anasukuma mlango wangu anataka aje kwangu et kulala kisa kakorofishana na mumewe.
Kanipigia simu mara tatu sijapokea,pia katuma na texts.Me SITAKI,Ooooh! Mungu nisaidie.
Ukitaka ushahidi PM me nitakutumia hata text,kwel tembea uone.......................