yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,636
- 3,659
Hii benki imetangaza nafasi nyingi za kazi. Na barua za maombi ya kazi unapeleka kwa mkono.
Kuna anayeifahamu vizuri hii benki?
Na kwa Kariakoo tawi lao lipo maeneo gani? Sababu wamesema application zipelekwe huko.
Kuna anayeifahamu vizuri hii benki?
Na kwa Kariakoo tawi lao lipo maeneo gani? Sababu wamesema application zipelekwe huko.