masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,173
- 18,390
- Thread starter
- #21
ur not alone brother🤣🤣🤣Not vyote but damn, nikisema niandike hapa ni gazeti 🤣
ur not alone brother🤣🤣🤣Not vyote but damn, nikisema niandike hapa ni gazeti 🤣
sidhaniHawa jamaa wanataniana tu na ni watu wanaojuana hadi kwa sura. Wala usiingilie matani yao maana watakugeukia wewe.
Sasa shida iko wapi hapo. Kumbuka watu ni watani hadi humu.sidhani
hadi kuitana maungo ya uzazi
tusinomalize matusi ya nguoni kama lugha ya kawaidaSasa shida iko wapi hapo. Kumbuka watu ni watani hadi humu.
List ina vitu vichache dada, hebu tuongezee ongezee kidogo.Upo kipindi gani
Therapy,Gym au divorce
Au vyote kwa pamoja
Au maombi🤣
hhahaha aisee pole LoveList ina vitu vichache dada, hebu tuongezee ongezee kidogo.
Nimeona vitatu tu kati ya 10 ninavyopitia 😂🤭
Si matusi mkuu, ni majina ya sehemu za Siri. Unaposema matusi unakosea bhana!tusinomalize matusi ya nguoni kama lugha ya kawaida
si vizuri