People are Nothing! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

People are Nothing!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kachumbari, Jan 18, 2011.

 1. k

  kachumbari Senior Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "Sometimes people are Nothing, U make them something...& When they become Something, They feel that you are Nothing.
   
 2. I

  Ijuganyondo Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaaa 81(A+)%of reality,hivi wewe ni kachumbari ya nini? Kabichi nyanya&vi2nguu au mlenda?!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Ushawahi kufikiria umeamka asbuhi umejikuta peke yako nyumba nzima?
  Unaenda kituoni hukutani na mtu njiani, unafika kituoni magari yapo ila watu hakuna.
  Unapiga simu inaita ila haipokelewi,
  unapiga mayowe ila unagundua upo mwenyewe, hakuna watu ulipo.
  THAMANI YA WATU HUONEKANA WANAPOKOSEKANA.
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  i am a legend.......will smith
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  That's true when it comes 2 people, lakn nadhan thaman ya mtu iko kwa anayemthamin,
   
Loading...