Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

shaur yako kila siku unaitwa mwanaharamu.. Nakwambia njoo uwe unalala bila kyupi kwangu unakuwa mbishi,,,, Lakn ukikubali kuwa mchepuko unatakiwa uwe mjuzi wa mambo usione kinyaa kushika mike

Mchepuko tena ndo nishike??? Wakati najua mike hyo tunatumia wengi bora ukiwa njia kuu ntajifariji kwamba niko peke yangu
 
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini. Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowooote ule. Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima. Jamani nyie msiyooa tafadhalini sana njooni kwa pande hizi muinjoy mpaka basi. Karibuni sana.

mkeo akuchune???? how???
 
Swali zuri sana!! Nakuhakikishia hana mwezi kwenye ndoa mkuu!!!! Natamani ajibu swali lako fasta

Na wewe una muda gani kwenye ndoa...au ndio nyie mnasimuliana mambo ya ndoa na ndoa hamna mnategemea story za JF MMU...
Tupe experience yako badala ya kumponda mwenzio...yani mkisikia watu wana enjoy mnakimbilia suala la muda...keep on praying....
 
Hahahaha!! Karibu sana kwenye chama cha walala uchi

yaani na joto hili la dar full kujiachia,"abdala kichwa wazi wangu anakuwa chonjo usiku kucha.wife akipeleka mkono tu,tunabinjuana.naungana na mleta mada,ndoa tamu bhana hasa kama umeoa mdada wa ujana wako.
 
Mimi nina miaka 8 kwenye ndoa namuunga mkono kwa 100% mleta uzi. Tatizo jukwaa hili watu wengi wameaminishwa kwamba ndoa ni mapigano na vurugu mechi kwa kwenda mbele. Kuna challenges yes lakini ndoa tamu aise asikudanganye mtu hasa ukipata mtu ambaye mnaendana.
 
Sina wasiwasi wa kuibiwa kwa vile game nampa la kutosha hata akitaka daily. Mawe nnayo ya kutosha wala hana shida ndogondogo za kurubuniwa kirahisi. Matatizo ya familia yake namaliza. watoto wanasoma shule imara. Labda wamvizie wambake. Mi mwanaume bwana!

Hongera sana mkuu naona umekidhi ule usemi usemao
''Kwenye ela ndo watoto wanatulia tuliiiiiiii......''
 
Mleta mada umepotea njia...
Humu habari kama hizi kwa wengi ni bad news...si unaona thread ilivyopokelewa na vijembe...
When it comes to marriage wanachotaka kusikia ni bad news tu....

Kama nawaona walivyonuna vile...lol

Asante umenisaidia kuona hilo,Hivi mtu utaogopaje kueleza furaha unayoipata ndani ya ndoa yako kisa tu kuna siku mambo yatabadilika.

Usipofuraia leo utafurai ndoa ikiwa kwenye migogoro,.Watu wanataka kila siku humu ziletwe habari mbaya tu juu ya ndoa.Mtu akileta habari nzuri utaskia" ndoa yenu bado changa au subiri utaona".
 
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini.

Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowote ule.

Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima.

Jamani nyie msiooa tafadhalini sana njooni kwa pande hizi muenjoy mpaka basi.

Karibuni sana.

Yakikuchachia tafadhli tuletee pia hapa maana walio oa juz utawaona hata kutembea kwake anajidai utafhan wengine wote mafala hawajui kitu. Ipo cku utakua mpole na mwenye heshima na hata mada zako ukileta tutajua kuwa ww umekomaa katikandoa. Blv me yakikukuta utakuja na mada nyingine yakuomba ushauri
 
Back
Top Bottom