Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

Kuna zaidi ya hayo mambo kwenye ndoa. Ila karibu kama ndio umeingia utajionea nakupata experience kadiri siku ziendavyo
 
na mimi mume wa mtu

inakuwa wewe mke wa mtu na mimi mume wa mtu

mke na mume wa watu
Tatizo hilo!
Hapo lazima mtavaa madude kunako, sa shida ya nini?
Kula chako cha halali bana, mungu akishuhudia!
TehTeh
 
Aaah wapi....vya kuiba ndo vitamu balaa
 
duh, wenzio hizo raha za kwenye ndoa takatifu tulishazitafuna miaka mingi sana, kilichobaki kama ni kutumia mipira ni kwaajili ya kulina mimba isitunge tusijekujikuta tunazaa mtoto wa nane kwenye familia.
 
Hongera sana mkuu. Na mitihani huwepo pia, itakapotokea kimbilio la kwanza liwe Muumba wako.
 

pole pole wasikuskie umesema? mhhhh wew hujui tena siku ukija gundua analiwa na nan.??? we andika urithi mapema
 

Ingekuwa tamu kama unavyoeleza tusingesikia vilio na malalamiko kwenye ndoa. Yaani we unaona raha kugegeda muda wote kisa ya bure! unaotaka unadhani yeye anafurahia, anavumilia tu hana pa kukimbilia
:msela::msela:
 

Weweeeeeeeeere!!!!!!! wapi mume bora na sio bora mume,,,,,, endelea kuenjoy kwa raha zenu...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…