Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

Hmaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
346
Reaction score
86
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini.

Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowote ule.

Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima.

Jamani nyie msiooa tafadhalini sana njooni kwa pande hizi muenjoy mpaka basi.

Karibuni sana.
 
Hahahahah ata avatar yako ianonyesha jinsi unavyofurai hongera
wapi miss neddy tena na jirani yake Heaven Sent njooni huku muone raha ya ndoa lol Via not married aha aha
 
Last edited by a moderator:
Rekebisha hapo kwenye red...wanandoa huwa hawachunani bali hupeana....Endelea kufurahia ndoa yako mkuu

Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini. Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowooote ule. Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima. Jamani nyie msiyooa tafadhalini sana njooni kwa pande hizi muinjoy mpaka basi. Karibuni sana.
 
Chunga wasikuibie maana umemtangZa huyu wako kwamba mtamu wakati kuna wenye ndoa zao wanaona chungu. Na umetangaza kama nyumba za NHC
Sina wasiwasi wa kuibiwa kwa vile game nampa la kutosha hata akitaka daily. Mawe nnayo ya kutosha wala hana shida ndogondogo za kurubuniwa kirahisi. Matatizo ya familia yake namaliza. watoto wanasoma shule imara. Labda wamvizie wambake. Mi mwanaume bwana!
 
Back
Top Bottom