Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Mapenzi ya style hii huwa matam sana 🤩 tatizo huwa yana kujilaum sana kama ulivyosema 'kwanini hukumjua mapema'.

Inawezekana ungemjua mapema usingepata raha hizo kama wahuni wasemavyo 'sinzia ni tamu kuliko lala' 🤣 unaweza kuvunja ndoa yako na ndio ikawa mwisho wa furaha yako. USITHUBUTU KUMUACHA MUMEO!

Furahia kwa wakati wako tafuta mbinu za kumwambia ukweli.

Huu ushauri wa kijinga ni kwa mke wa mwenzangu tu, sitamani itokee kwa mke wangu
 
Eeeh soo unamshauri kwamba kijanaa anyunyuzie mbolea kabisaa alafu mume abambikiwe mtoto😲😲😲😲
Wewe uliyeandika kwamba bibie amwambie kwamba ameolewa na ana watoto wanne ili waendelee na uzinifu wao,Mimi ndio nikaandika unahitaji kwenye ndoa yake apeleke mtoto wa nje ya ndoa🤷🏼‍♀️
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live.

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack, amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time, hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro.I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani.

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Nimpe pole mumeo kwa kuoa kahaba
 
Hahahaaa nikisikia hizi stori kuna wakati nacheka na mara kadhaa nahuzunika. Nilwahi kuleta stori hapa ya kuzaa na mke wa mtu watoto watatu I was attacked like hell. Issue yangu ilikuwa tofauti niliingia kwenye mahusiano na mwanamke ambaye alikuwa ni single mother, in the long run it was hot mpaka mwanamke akataka nimfanye japo awe my side chick lakini nikamkatalia ila kwa hasira akaamua kuolewa na kubadili number. Miezi sita ya ndoa akanitafuta kwa ajili ya maongezi na ushauri kuhusu vitu ambavyo alikuwa anaona si vya kawaida kwa Huby wake.
Ghafla tukarudi tena kwenye mahusiano nakumbuka siku moja alinipigia simu na kunambia natamani mtoto lakini naona kama sishiki mimba tena au mme wangu anatatizo. Kwa kuwa yeye ni mfanya biashara nikamwambia siku ya kuja kuchukuwa mzigo apange kuja ikiwa ni zile siku anozoweza kushika mimba. Na kweli alikuja na we had a moment for some days na kwa kuwa alikuta mzigo kiwandani ni wakusubiri haikuwa shida sana kwa Mr wake.
Kwa bahati mbaya kwangu na nzuri kwake alishika ujauzito na akazaa mapacha. Haikuishia hapo akarudi tena kwa mimba ya pili kifupi ni kwamba amezaa watoto watatu nje ya ndoa.

Nimeamua kuandika kwa sababu umesema unafikiria kuzaa nje ya ndoa siyo wazo zuri baadae lina maumivu makali sana kwa pande zote mbili. Kuna wakati mwanaume uliyeamua kumzalia atakuwa anaumia na wewe utakuwa unaumia kuona kuwa kuna haki fulani ya huyo mtoto umeipokonya. Narudia tena kusema inaumiza kwa sababu kwa mfano mimi baada ya kusaidia huyu mchepuko wangu kupata watoto siku hizi nikimpigia simu hapokei.

Ilifika mahali mpaka nikawaza kuwa liwalo na liwe nikataka kujilipua mtandaoni kwa kueleza hili jambo na kutaja jina halisi la huyu mwanamke, mme watoto na taasisi anayofanya kazi mme ili nipate watoto wangu. Najua ingeenda kwenye issue ya kisheria lakini kwa hasira nilishafikiria kufanya hivyo. Baadae nikafikiria jamaa anaweza kuwaua mke na watoto wote ikawa shida nyingine. Au akaanzisha vita ya kisasi kwangu japo najua ingekuwa ngumu kunipata kwa vile niko mkoa tofauti na yeye.
Nakusihi kaa tunza familia yako hizi raha unazopata ni za muda tu kwa sababu mwisho wa siku ni huzuni. Wakati unaposema umemdanganya naye pia anakudanganya na siku akigundua una watoto wanne basi hutomuona tena na usishangae muda huo ukawa na watoto watano. Pia huwezi jua mmeo atapokea vipi huenda akawa ni wale wanaoamua kuwa bora tukose wote.

Please please don't try this at home. Naongea kutokana na uzoefu wa kuwa na watoto watatu under someone's roof.
 
Wewe uliyeandika kwamba bibie amwambie kwamba ameolewa na ana watoto wanne ili waendelee na uzinifu wao,Mimi ndio nikaandika unahitaji kwenye ndoa yake apeleke mtoto wa nje ya ndoa🤷🏼‍♀️
Kwani kugegedwa lazima abe e mimba...sii wanaenjoy tuu jjamaa anakojolea nje🤣🤣🤣
 
Ngoja tukuache tusije kuwa tunamshauri mtu kumbe ni kichaaa anaehitaji matibabu ya kiakili,. Hivyo hivyo unavyosema uko confused kwake ndo utakavyokuwa kuconfused zaidi siku ukiachwa nae ama siku ukijua ana mtu ambae ni mchumba wake wanaelink nae the same age mate ama below ya hapo
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live.

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack, amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time, hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro.I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani.

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Kama kweli unampenda uliishawahi mpa tigo? Ukimpa tigo ndio tutajua kweli una.penda huyo mchepuko.
 
cocastic bwela kuni useme neno..!! Kuna mtu anatafuta kufyatuliwa risasi..!!
 
Mke mpumbavu hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe. Mithali 14:1.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom