Mnyabwilo
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 720
- 256
Na hii ya kusema sikuridhika nae, hivi unakaaje na mtu miaka yote hiyo yani wamekula wote Christmas 5 halafu anasema hajaridhika nae, sijui fyatu
Mwaka huu wanatafuta christmas ya sita
Na hii ya kusema sikuridhika nae, hivi unakaaje na mtu miaka yote hiyo yani wamekula wote Christmas 5 halafu anasema hajaridhika nae, sijui fyatu
Bidhabt hapo sahih !! Maana naona al-jama3a humu wana itikadi sana hilo....!!Hakuna Binadamu anaweza kua mkosi kwa mwenzie ni mawazo tuu ya mtu...
Jamanii wana jamii naomben ushaur wenu nina mpenz wangu ambaye nimedumu nae katika mahusiano nae kimapenzi kwa muda wa zaidi ya miaka 5,pindi tunaanza mahusiano yeye ndo alinitaka mimi kimapenz ila mimi nilikuwa na lengo moja tuu la kusex nayeye kisha nimuache kwa kuwa sikumpenda kwa dhati toka moyon mwangu,lakin baada ya kusex tuu basi akawa ananiganda sana kiasi kwamba nikawa nashidwa kumu escape maana alikuwa ananipa vitu mbalimbali kama fedha na kadhalika,kwakuwa nilikuwa sina kipato chochote basi nikajikuta na endelea kuwa nayeye kimapenz kwa muda wa zaidi ya miaka 5 lakini kinacho nishinda kwa mwanamke uyu,kila napofanya nayesex napata mikosi tuu ya kimaisha.Ndugu zangu naomben ushaur wenu nifanyeje nimechoka na mikosi nayoipata kutokana na penz la uyo mwanamke?
Mwaka huu wanatafuta christmas ya sita
boraa umempa wazo hilo maan unawezaje kuwa na mtu miaka mitano hampendi eti anamganda watu kwa ujiko ivi haumpendi mtu hata mboo inasimama kweli mmh uswahilini kuna mambo chaaa!!!!
Saali saanaJamani wana jamii naombeni ushauri wenu,
Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu nae katika mahusiano nae kimapenzi kwa muda wa zaidi ya miaka 5, pindi tunaanza mahusiano yeye ndo alinitaka mimi kimapenzi ila mimi nilikuwa na lengo moja tu la kusex na yeye kisha nimuache kwa kuwa sikumpenda kwa dhati toka moyoni mwangu.
Lakini baada ya kusex tuu basi akawa ananiganda sana kiasi kwamba nikawa nashidwa kumu escape maana alikuwa ananipa vitu mbalimbali kama fedha na kadhalika, kwakuwa nilikuwa sina kipato chochote basi nikajikuta na endelea kuwa nayeye kimapenzi kwa muda wa zaidi ya miaka 5 lakini kinachonishinda kwa mwanamke huyu,kila napofanya naye sex napata mikosi tuu ya kimaisha.
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyeje nimechoka na mikosi nayoipata kutokana na penzi la uyo mwanamke?