rabiintocavel
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 294
- 233
Nimekwambia hivyo mimi mwenyewe nilishawahi kuwa na mwanamke wakati nimeanza nae kila siku mambo yangu yanaharibika nikiachana nae mambo yangu yanarudi vizuri na ninapata sana hela lakini nikimrudia tu lazima nipate majanga kwa mfano ajali za magari dili zangu za hela zinabuma maisha yanabadilika. nimeshaachana nae na kurudiana nae zaidi ya mara 20 na matokeo ni hayo hayo niliyosema. hii kitu ipo na ninaamini inasababishwa na wanawake kwenda kwa waganga na madawa wayayowawekea waume zao. hapa nilipo sasa hivi sina mke naishi vizuri sina shida hata kidogo wala stress za kijinga. wanawake wa ukweli ni wachache sana kuliko idadi yetu wanaume