Jamanii wana jamii naomben ushaur wenu nina mpenz wangu ambaye nimedumu nae katika mahusiano nae kimapenzi kwa muda wa zaidi ya miaka 5,pindi tunaanza mahusiano yeye ndo alinitaka mimi kimapenz ila mimi nilikuwa na lengo moja tuu la kusex nayeye kisha nimuache kwa kuwa sikumpenda kwa dhati toka moyon mwangu,lakin baada ya kusex tuu basi akawa ananiganda sana kiasi kwamba nikawa nashidwa kumu escape maana alikuwa ananipa vitu mbalimbali kama fedha na kadhalika,kwakuwa nilikuwa sina kipato chochote basi nikajikuta na endelea kuwa nayeye kimapenz kwa muda wa zaidi ya miaka 5 lakini kinacho nishinda kwa mwanamke uyu,kila napofanya nayesex napata mikosi tuu ya kimaisha.Ndugu zangu naomben ushaur wenu nifanyeje nimechoka na mikosi nayoipata kutokana na penz la uyo mwanamke?
Ni kweli kuna wadada wanagundu sana na kuna wadada ukiwa nao kimapenzi mwenyewe utafurahi,
Nakumbuka nilikua na dada mmoja for sure alikua mwenye bahat sana sababu kabla ya kua nae mambo yangu yalikua kombo sana ila baada ya kua nae madeni yangu nililipwa tena yale yaliyokua sugu na kazi zangu zilienda poa,
Nilijua ni yeye coz nilipogombana nae mambo yangu huaribika gafla ila nikirudiana nae kila kitu kilienda sawa.
Nilijivunia sana yule dada nilikua sina hiyana kumpa pesa yeyote ama kuspend nae atakavyo kwan nilijua baada ya hapo pesa zangu zitarudi tu..
Mda mwingne nilitamani kuumuliza kwamba anajua kua yey ni mwenye bahat sana ila niliogopa kumpa siri hyo nikijua kwamba anaweza niumiza kwa kutumia hyo advantage...

Mliishianaje?
baada ya hapo mi nilipata kazi na kujiariliwa katka kampun fulan ambapo ndipo ninapofanya kazi mpaka sasa ila nilipostiwa nje ya mkoa ule,yeye akabaki kule kuna kaz na yeye alikua anafanya ndio mana alibaki
Mtafute muendeleze..unaweza jikuta unakaa meza moja na kina Bakhresa.
Yani miaka mi 5 yote wewe nimikosi tuuu hakuna hata mara moja ulopata bahati? kwanza umsema mwanamke huyo ndio anaekupa hela sasa unahongwa halafu anaekuhudumia unasema anakutia mkosi mkuu mbona kama sielewi unataka kusema nini? au wewe ndio unamkosi?
achana na kugegeda endelea na mapenzi tu
Nikitika na mwanamke mwingine sipatwi mabalaa ila nikilala na yeye inakuwa taflani ndugu
Swali: Umefanya utafiti gani ukapata uhakika kuwa nikutokana na hyo mwanmke kutembea nae unapata mikosi???
Na kwanin isiwe sababu nyingine mbali nahii??
Je, wewe ndgu yangu si mdhanifu???
majibuuuuuuuuuu......