penzi la shemeji

Nikisema, mnasema mwanamalundi anachonga sana. Embu oneni wenyewe sasa huyu jamaa ndio amenzisha mada gani hapa? Sasa kuna kitu gani cha kujifunza hapa. After all, this is your private business. Hayatuhusu.


Mwanamalundi
Lipi jema kwako? But
Keep on criticising it may give something to hope for.
 
Last edited by a moderator:
Mwanamalundi
Lipi jema kwako? But
Keep on criticising it may give something to hope for.

I am not criticizing/criticising anyone here. My role is very simple. Kukemea hoja dhaifu. Inatakiwa memba wanapotoa michango iwe na hoja za msingi. Tunataka kurudisha heshima ya JF.
 
So what?
 

Mkuu pole sana kuwa na mwanamke mkorofi?
Kwanza naomba nijiniwe hayo yafuatayo!!
Kibuli cha mkeo kimetokana kwamba kwao wana uwezoo au kati yenu yeye ndo anakipato kikubwa?
 
jerrytz UNATAKA HAO NDUGU WAUWANE, MAANA SIKU DADA MTU AKIJAGUNDUA PATACHIMBIKA HOME. UMENIKUMBUSHA KISA CHA DADA MMOJA ALIKUWA ANAFANYA KAZI BENKI YA POSTA, ALIKUWA ANATEMBEA NA MUME WA DADA YAKE HUKO MORO NA AKAFANYWA KAMA SMALL HOUSE, ALIPOHAMIA HAPA DAR HUYO DADA AKAPATA MCHUMBA NAYE AKAOLEWA, NA YEYE MUNGU AKAMLIPIZIA , RAFIKIE KIPENZI AKAWA ANATEMBEA NA MUMEWE , ALIPOPATA TAARIFA AKAENDA KUFUMANIA HUGO HOUSE PALE, NDIPO KIFO CHAKE KILIPOTIMIA BAADA YA KUBAMIZWA KWENYE KABINETI AKAPASUKA KICHWA.
 

Pole sana mkuu, kwa kweli ndoa si lelemama inahitaji uvumilivu wa hali ya juu mno. Ukweli ni kwamba asilimia zaidi ya 90 ya matatizo ya ndoa yanatatulika, shida kubwa huwa ni vijana kuoa mapema na pili ni vijana kutafuta mbadala wa mke pale inapotokea matatizo. Kwa wewe ishu ishakua ngumu kwasababu umeshamtia shemeji, kama vipi usimwache mkeo endeleza na shem pia.
 
kwa wale watakatifu ambao hawajawahi kutenda kosa hapa duniani na wakaamua kutoa kashfa na matusi asanteeni sana! Kwa wale walioona kosa langu na kutoa ushauri mwema Mungu awazidishie hekima!Nimejifunza mengi hapa
 
Kama unayo imani ya Mungu basi umekosea: ni chukizo kwa Mungu kulala na ndugu yaani dada wa mke aliye hai. Kaifikilie toba haraka
 
I am not criticizing/criticising anyone here. My role is very simple. Kukemea hoja dhaifu. Inatakiwa memba wanapotoa michango iwe na hoja za msingi. Tunataka kurudisha heshima ya JF.

mwanamalundi; yes its private why botherin commenting on someone's private issue; save ur energy kip ur tongue at ease!
 

lisa i hv discovered my mistake
 
Uso nidhamu na adabu ni wewe na huyo shemeji yako


We hujui tu stress za mawife zinavotuchanganyaga. Mi kuna siku naamua sitoki nyumbani siku 2 nipumzike na wife, yaani anaibua likitu mpaka naona nyumbani pachungu, nasepa zangu!!! Na kesho yake nikijaribu ku-reason nae ajue ni kiasi gani nilikereka, unajua anachosema? Eti ulipanga tu kutoka uende kwa wanawake zako huko!!! Natamani hata kulia, ningekuwa mtoto mimi ningelia sana. Kwa sababu I love her, veeeeery much, lakini kazi yake ni kuhakikisha ananikera tuuuuuuuu!!! Ah!
 
Dah....! Jaman, ushauri wa bure ni huu, achana na shem wako na usisthubutu kulala naye tena hafu kuhusu mkeo ebu fuata ngaz za kusolve hyo issue ka mlifunga ndoa kanisan /muslim waonen wahusika, elsewhere weken vikao na wazaz muyamalze na mke, yakshndkana yote mjipe likzo, mpeane time nzuri ya kujimis!
 
Du nimewahi kusikia usemi wa "shemeji kula dada hayupo!"
 

kwanza nahis mkeo si mkorof ila analinda mali zake sababu ameshagundua kuwa kuna kitu kat yako na mdogo wake, pili we ndo usio na nidham ungekuwa nayo ungeiheshmu ndoa yako na kujua kuwa huyo ni shemejio, tatu wewe na huyo shemejio mlikutana kwa lengo lililojfcha yaan kuvunja amri ya sita, huku mkzuga kuwa mnaenda kutafuta suluhu
 
hahahahah! hapo kaka umekosea jamaa yangu! solution ya tabia ya mkeo haikua hilo ulilolifanya jamaa, huyo nae unaemuona ametuliza moyo wako kumbuka nae ni mwanamke kwa mana kwamba wanawake wote ni sawa kwa vitimbi yawezekana huyo anavitimbi kuliko mkeo sema bado hajafunguka ju ya vitimb alivonavo jama, mi nadhani kaa na mkeo hata kwa kuita wazee wafamilia ju ya tabia zake akishindikana "SHATI LIKIKUBANA LIACHE VAA JINGINE" wako weng jama kuliko hilo ulilolianza litaja kutokea puani na ukajuta ju yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…