weka sivii baba. Primary ulisoma canada, secondary america hadi six, first degree england. Ukarudi kidogo nyumbani ukaajiriwa pale magogoni. Baada ya miaka miwli ukaenda ujerumani ukachukua masters. Kwa sasa uko magogoni kama mshauri wa bwana mkubwa kuhusu uchumi. Kopi weka profire hiyo ung'oe mtoto wa ukweli jf. Watu hawaangali sura siku hizi. Wenzako ndio tunavyong'oa.