Penzi la mamantilie

Penzi la mamantilie

nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penz motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very easy to handle tukiwa faragha i really love you.

dear mamantillie hapa MMU ni wazushi,hawafiki level zako,kwanza ombaomba kinyama hawana hata aibu wanataka kuhongwa na bado penz stress,mamantillie we ni wangu for life mwah,MMU tupa kule

Kumbe unapnga kule coz unapenda dezo eeeh??? Hapana chedhea ukoko.ushakulevya
 
Bro mtafute majan unafaa kuwa Dimond
 
mbali na hizo sifa huwa unampa nini kingine

alot tu happiness,love,care ,respect,classical romance,security,company,ideas,fun stories,freaking each other,gifts,clothes,shoes,we go church together,listen to her feelings,and finally sweet words and dore miss neddy
 
Last edited by a moderator:

utampa vyote kama huna pesa ni bure
 
Last edited by a moderator:
utampa vyote kama huna pesa ni bure

yeye ndo ananipa i give her incase she wants ,WE DO BELIEVE in SOULMATE we care free makaratasi maana tunajua pesa nini simply ni satan basi
 
ulichowekewa naogopa taja hapa,,
endelea kula.
 
Kumbe unapnga kule coz unapenda dezo eeeh??? Hapana chedhea ukoko.ushakulevya

huyu ndo anajielewa usista du katupa chooni,na anamjengo sasa nyie vikaragosi na vityt mjini,mipoda ka mizoombie mtasubiri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom