mamantilie ni wangu peke yangu jioni tunarudi wote ,asubuhi namchukua namwacha sokoni naenda job ,sio nachepuka dia si unajua lishe afu penzi she care free nampenda juzi nimempa laki ya shida ndogondogo dah kafurahi sana
he we tena hapo karibu ni robo mshahara mi fundimajeneza lol
ni kwa ajili ya vicheche wa MMU
mbona muoga hivyo nipe size nikuandalie mummy kiroho safi
Nimemwona tumboo daaa, kwenye uzi alioanzishiwa ule!
usjali utapata kilo ngapi ujazie huko nyuma dia
anatakaje kwani huyo soundrecorder ya mchina