Penzi la mamantilie

Penzi la mamantilie

Nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penzi motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very easy to handle tukiwa faragha i really love you.

Dear mamantillie hapa ni wazushi, hawafiki level zako, kwanza ombaomba kinyama hawana hata aibu wanataka kuhongwa na bado penzi stress,mamantillie we ni wangu for life mwah.

unamsifia kwa sabb anakupa chakula cha bure sio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom