Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,418
Yaani wanaume, Seki alikuwa anajiachia na Lulu open kama hana mke🙄🙄[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbukaga mine!
Yule ni shidaaahh
Alivyokufa seki sasa Muna ndo alikua anatukana na vitiem uchwara Maaana yy alipumzika IG kwa muda