Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,394
- 88,828
Hawaelewi. Mdogo wa umbo mkubwa wa mambo yule.Kale ka-toto kanajua mambo usiyoweza kuyafahamu mkuu.
Hawaelewi. Mdogo wa umbo mkubwa wa mambo yule.Kale ka-toto kanajua mambo usiyoweza kuyafahamu mkuu.
Baada ya maombi si muunganishe tu ndoa mkuu, kuna haja gani ya kwenda tena guest kuzini?hawa warembo kabla ya kwenda naye gesti house ni kumpeleka kwanza kanisani kwenye maombi.
Tena ni mkubwa na mpana kwa mambo mtoto yule.Hawaelewi. Mdogo wa umbo mkubwa wa mambo yule.
Baada ya maombi si muunganishe tu ndoa mkuu, kuna haja gani ya kwenda tena guest kuzini?
Usimsahau Seki.Mahusiano ya mastaa yakivurugika ata sishangai!
Ila hiyo ya Lulu na matunguli niliwai isikia, sidhani kama ni kweli. Si walisema kua kila mwanaume anaelala nae anakufa kwa sababu ya Kanumba na Komba!
Hirizi si dawa ya penzi
Du kale katoto tunguli kametoa wapi
jiulize bila uchawi angekua nje mpaka Leo?!!tena binamu tujiulize haswaaa....Aaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua
ndiyo maana wanakufa kila sikuHaka katoto nuksi kweli kwa ushirikina maana ugomvi wake siku ile na Marehemu ilikuwa hayo hayo mambo ya hirizi..
Kitu kilikuwa kinapumua.
Duh!!!kumbe kachawi kalitaka kumgeuza jamaa ndondocha nini?
Ohoooumeona eeehh!mi hata sishangai hata kidogosasa nyie kwani lulu mlijua sku zote apate mabwana wenye pesa tu ye K yake ina signature ya Balali au kitu gani?
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHA
bonge la hirizi na akalichukua akalirudisha mdomoni akalimeza tena kwa madai mganga kamwambia akiitupa atakufa.
hii Kali hii looounakuta binti chawi utadhani ndiyo liganga lenyewe
we ndo majizzo au mdogo wake?Nimejikuta kumbe majizo account kaweka private
Siku hizi hamposti lastly was January kumpostiLakini si katamu eti?? Popote ulipo Lulu pliiiz naomba uje uniroge na mimi huku.Aaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua
lazima aroge maana anapenda high life,hana kazi ataishije na yeye ndo mama wa familiaHawaelewi. Mdogo wa umbo mkubwa wa mambo yule.
Kale ka-toto kanajua mambo usiyoweza kuyafahamu mkuu.
Na wengi walimpa yale magauni ya kupigia picha insta kwa ukaribu wake na Majizzo sasa kama mambo yamekua chali, mjini kutakua shubiri.lazima aroge maana anapenda high life,hana kazi ataishije na yeye ndo mama wa familia