Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #41
mkuu.naomba tu uvune ulichokipanda.....hiyo mimba usiitoe......mlee na mtoto azaliwe.....muda ukifika mueleze mkeo ukweli....ingawa itauma lakini hiyo ndiyo hali halisi.......
Kutoa mimba ni tatizo,na kuwa na mtoto wa nje ya ndoa si tatizo?Fanya maamuzi magumu na utubu mungu atakusamehe nawe sio wa kwanza kufanya makosa hayo
NichEkI Pm nImTuLiZe WIfe Ako.
Ungekuwa karibu ningekukata bonge la mtama!
LoL! Chezeya kupendwa na kupenda
Kutoa mimba ni tatizo,na kuwa na mtoto wa nje ya ndoa si tatizo?Fanya maamuzi magumu na utubu mungu atakusamehe nawe sio wa kwanza kufanya makosa hayo
Ujauzito wako?.....
VVU+Ukimwi vinakuita
Michepuko siyo dili baki njia mkuu
Ukiwa mwaminifu uanaume hana kazinakubaliana na kauli yako mkuu,ila uanaume kazi pia.........
Jumuiya ya wanamume inakupa wiki mbili na masaa matano...endapo hujalipatia ufumbuzi hili swala.....tutaishikiria leseni yako ya uanaume...hadi pale swala lako litakapo patiwa ufumbuzi.......
Ukiwa mwaminifu uanaume hana kazi
.
Pambafu wahed,ningeukuwa karibu ningekutupia dongo. Wanaume tubadilike jamani. Mi mwenyewe yamenikuta kwa kuachana na binti niliyezaa nae kisa binti Wa Kongo. Vinajua mambo ya 6*6 balaa. Unakoelekea ni kubaya sana. Achana nae,una uhakika mimba yako. Labda kakuona boya NFL mana amekupa mimba. Dume zima limeshika mimba. Ntakununulia pampas.
Kama ni mjamzito hapo ni tatizo aisee, kuzaa nje ya ndoa nako ni shida sana ...
ni kweli mkuu eli,nishalikoroga inabidi nilinywe,though hata kama nimempenda huyo binti kiasi gani,moyo wangu uko kwa familia,natamani ningekuwa na uwezo wa kusahihisha makosa ili uzao wangu ubaki kwa mke wangu tu,ts hard now,almost imponsiple