Kuepusha matatizo ya watoto wa nje ya ndoa,better hiyo mimba mkatoe fasta bado ndogo,vinginevyo umekaribisha matatizo makubwa kwenye ndoa yako,ama laa kama unampenda sana usilimu ili uruhusiwe kuwa na ndoa mbili
Hao viumbe hawatabiriki,ukimuweka ndani kama mke wa pili atabadilika kuwa wale wale tu!trust me.
ts hard to tell farkhina.
Kuepusha matatizo ya watoto wa nje ya ndoa,better hiyo mimba mkatoe fasta bado ndogo,vinginevyo umekaribisha matatizo makubwa kwenye ndoa yako,ama laa kama unampenda sana usilimu ili uruhusiwe kuwa na ndoa mbili
Wewe kama mwanaume unatakiwa uwe na maamuzi yako na msimamo thabit sasa ushauriwaje na mwenyewe hujui unachotaka ndugu yangu?....
maisha haya... mhh
Unaomba leseni ya kuchepuka JF??
kwikwikwikwi
Yalishakukuta ya dizaini hii?.LoL! Chezeya kupendwa na kupenda
Kuepusha matatizo ya watoto wa nje ya ndoa,better hiyo mimba mkatoe fasta bado ndogo,vinginevyo umekaribisha matatizo makubwa kwenye ndoa yako,ama laa kama unampenda sana usilimu ili uruhusiwe kuwa na ndoa mbili
usijali mkuu,ombi lako nalifanyia kazi
Kuepusha matatizo ya watoto wa nje ya ndoa,better hiyo mimba mkatoe fasta bado ndogo,vinginevyo umekaribisha matatizo makubwa kwenye ndoa yako,ama laa kama unampenda sana usilimu ili uruhusiwe kuwa na ndoa mbili
Kutoa mimba ni tatizo,na kuwa na mtoto wa nje ya ndoa si tatizo?Fanya maamuzi magumu na utubu mungu atakusamehe nawe sio wa kwanza kufanya makosa hayo
nashukuru mkuu,kuna tatizo lingine hapa ambalo nashindwa nilisolve vipi,ana ujauzito tayari wa miezi 2 sasa.
Hahahahaaaa! Ba kijacho acha uoga. piga mzigo ulee na dogo. kinakushinda kuishi nao wote ni nini?